Mahweso
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 1,098
- 1,501
Kama nilivyoanza kusema, Waziri Mkuu sitamwita Waziri mkuu, Mawaziri sitawaita Waziri, nitawaita hivi:
Waziri Mkuu - Msemaji Mkuu wa Serikali
Waziri - Msemaji Mkuu wa Wizara
Kwanini?
Sote tunaona Serikali ya awamu ya Tano inavyoongozwa, Rais ndio kila kitu kwenye awamu hii mawaziri hawana kazi zaidi ya kuzisemea Wizara zao tena kusema yale Raisi ameagiza sio vinginevyo.
Waziri anatakiwa apange bajeti ya Wizara yake kwa sababu ana wataalam wa kila kitu, lakini matokeo yake kila kitu kinapangwa na Rais.
Mifano midogo:
Rais kanunua ndege, Je Waziri wa Wizara ile kazi yake nini?
Kaajiri Madaktari Waziri hana Mishahara ya kuwalipa maana yake nini, hawa ni wasemaji tu.
Yangu ni hayo tu,
Mungu ibariki Tz