Recent content by makusafrank

  1. makusafrank

    Yaani siku hizi ukigusa tu, unapewa bila hiyana...

    Kama hujaomba size yako wategemea nini? Sikumuonea tu? Then umamzalilisha.
  2. makusafrank

    Halima Mdee na Esther Bulaya...Hivi Urafiki Gani Nyie?

    jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwoneeni huruma hatarudia tenaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
  3. makusafrank

    wanawake wa kipare

    siku hizi tabiia nyingi hazijalishi kabila mpeni fomaliti za kutoa mahari mwenzenu mtamchelewesha wakati ndo aliopangiwa na Mungu
  4. makusafrank

    Jamani ombi langu liko palepale!

    asanteni kwa majibu yenu. Ila ushauri wangu nikwamba kama hujisikii kumsaidia mtu usijibu majibu ya dharau kumbuka mtenda hutendewa. nice day
  5. makusafrank

    Kwanini maheadmaster/ headmistress hawafundishi darasni? ijue sababu

    sikweli hilo halijaanza sasa. tafuta sababu yamaana kidogo
  6. makusafrank

    Jamani ombi langu liko palepale!

    mwenzenu natafuta mwanaume wa kufunga naye pingu za maisha umri usiochini ya miaka45. niko seriously
  7. makusafrank

    Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

    haya bana! but too much of everything is hurmful
  8. makusafrank

    Tuhuma nzito kwa CHADEMA: Barua yao ya kuhujumu nchi yanaswa!

    Mtagonga mwamba manake mwenye macho haambiwi tazama Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  9. makusafrank

    Ungekuwa wewe ungefanyaje?

    Kumwambia ningumu hata ningekuwa mumi ila kitu kimoja unachoweza fanya nikumkabidhi mwenyezi Mungu yeye anajibu sahihi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  10. makusafrank

    mapenzi siku ya kwanza.

    Hujui mapenzi bado hujawahi pewa penzi ukachanganyikiwa ndo mana chamsingi nikupata unayeshabihiana haijalishi umesota kiasi gani. Hata kama nimekupa kwa haraka hutotamani mwinhgine na usinghethubutu kuuasema haya. Muombe Mungu akupe unayeshabiana, nanaomba akupe huyo unayemwita cheap kama...
  11. makusafrank

    mapenzi siku ya kwanza.

    Acha ujinga kutojiamini huko ukitongoza ulikuwa wataka nini? Au unafanya majaribio! Ushamba wako peleka shamba umezoea ukitongoza binti aanze kungatangata vidole sio? Kama hutaki penzi usitongoze na kama hutaki kupewa siku hiyohiyo jaribu binti msieendana class. Unawatokea ambao sio saizi yako...
  12. makusafrank

    Mwanamke kutofika kileleni kosa la nani???

    Hapo inategemea yawezekana ikawa ni mwanamke au mwanaume ila sbabu kubwa niulimbukeni wamapezi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  13. makusafrank

    Tendo la ndoa mara ngapi ki-afya?

    Jibu sahihi angalia wanyama wanavyofanya, binadamu uroho mtupu ndo maana rate ya kuzeeka nikubwa sana Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  14. makusafrank

    Answer if you are genius....??

    Doctor can be mother of the son Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
  15. makusafrank

    Kwa nini Watu wanazima taa na kujifunika Wakati wa mapenzi

    ukizima taa utanogewaje sasa! du!
Back
Top Bottom