Recent content by makoba1

  1. M

    Nahitaji mashine ya kusaga tangawizi

    Minja kama unahitaji machine kubwa yaan for commercial purposes check na hawa Alibaba.com wako china mimi niliwacontact wakanipa na quotations or contact me 0717903508
  2. M

    Soko la tangawizi.

    Nyakim contact me 0717903508/0759566209. Kuna soko la Sudan kama utatimiza vigezo
  3. M

    Soko la tangawizi.

    Habari nyakim, mim niko Dar na natafuta pia soko la Tangawizi sidhani kama kuna hicho kiwanda
  4. M

    Nauza tangawizi

    Habari wanaJforum, napenda kuwatangazia kua nina tangawizi tani za kutosha, mwenye kuhutaji au mwenye kufahamu masoko ya ndani na nje naomba tuwasiliane 0717903508/0759566209. Email:noeldmm@gmail.com. karibuni
  5. M

    Nauza Tangawizi

    Habari wanaJforum, ninauza tangawizi, kwa mwenye kuhitaji au anayejua masoko ya ndani na nje tuwasiliane 0717903508/0759566209. Email:noeldmm@gmail.com.
  6. M

    Ushirikina (chuma ulete) unawaangusha wafanyabiashara

    Kaka kwa wakristo kwenye bible kuna andiko lisemalo ailindaye nyumba yake bila mimi(Mungu) afanya kazi bure(ulinde na security campanies, umeme au uchawi) bado majanga yatakukuta tu. Nakushauri kabla hujaanza biashara yako chukua kiasi flam kwenye mtaji wako toa sadaka kwa kumwambia Mungu...
  7. M

    Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

    Kijana kwanz umefanya vizuri kuomba ushauri, achana na watu wenye mawazo mgando, mimi ninauzoefu kiasi flan juu ya biashara ya chips. Biashara ya chips inaweza ikakulipa sana tu bt katika mazingira ya fuatayo mbali na mtaji.1: LOCATION: hiki ni kitu cha msingi sana unaweza kuwa na mtaji wa...
  8. M

    Enzi zileeeeee

    Kibanga amkimbiza mkolon na nondo mla watu
  9. M

    Nataka kujinyonga kwa kukosa kazi

    Uliona wapi anayejinyonga anatangazia uma wewe?. Kukosa ajira si mwisho wa maisha na maisha lazima ujue ni ups and downs hyo ni down yako ups itakuja tu ntumainie Mungu.tofauti tu hapa ni kiwango cha uvumilivu na mind set yako bila kuajiriwa huwezi kuishi?
  10. M

    Vodacom mnanivunjia ndoa

    Huna hekima wala busara na we ni mdhalilishaji wa wanawake, changia michango yenye akili na si upuuz! Jf ipo kwa ajiri ya kuelimishana na si uwanja wa kuchezea game za kijinga.think twice!
  11. M

    Vodacom nuksi sana

    Kwakwel hata mini voda wameshanikera sana, mfano ukijiunga na kifurushi ukaacha salio kweny account yako kifurushi kikiisha na salio lile wanafyeka,kero nyingne ukitaka kujiunga na tuseme cheka ya 500 ukiwa na salio la mia 700 ukijaribu kujiunga unaambiwa salio lako halitoshi, ukisema ujaribu...
  12. M

    Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

    jaman kidasa na kuchangumu, mnang'a ng'ania kuona majengo ya zitto,sijaona mkiandika hata msg ya kutoa pole majengo yake yatawasaidia nin? Juwen wakati gan mtafute habari fulan
  13. M

    Uuzaji wa viatu vya mitumba

    Hayo mazao unayolima unayavuna baada ya mda gan na ni wapi?@raelish
  14. M

    Uuzaji wa viatu vya mitumba

    Naomben ushauri nahtaji Kuanzisha biashara ya kuuza viatu vya Mitumba karume vya kiume raba n.k kwa wenye uzoefuvna biadhara hii je mtaji kiasi gan unahtajika kwa kuanzia? Na je inalipa?
  15. M

    Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asanten wadau kwa mawazo yenu mazuri ya kujengana na kutokua wachoyo wa mawazo,mawazo haya yatatusaidia sana hasa vijana wakitanzania endapo tutayafanyia kazi.hakika mnatupanua kimawazo na kutupa ujasili wa kuthubutu.asanten
Back
Top Bottom