hawapokei sm washnzy sana
Naunga hoja bila hofu yoyote ile hawa voda ni wezi balaa tena usidhubutu kuweka salio la buku alafu ukajiunga kifurushi cha 495 lile salio lilobaki wanalila bila huruma halafu ukiwapigia na kuwafokea wanakujibu "saa hizi unajazba kata simu upige baadae" hii inauma sana
Hakuna wiz wala nini! kwani nyie munatumia voda ya nchigani?
Habari zenu wana jf,
Ningependa ku-share maumivu ambayo huwa nakutana nayo mara kwa mara pindi niwekapo vocha katika mtandao wa simu wa vodacom.
Leo nmeweka sh 1000 nkajiunga naona ikarudi msg ya kusema salio lake halitoshi eh nkaweka tena 1000 hivyo hivyo maana nilikuwa najiunga kifurushi cha siku.
Cha kushangaza sijapata msg ya mimi kuunganishwa,nikanunua tena 1000 nkajiunga ya siku ikakata nkajiunga tena ya siku ndiyo nkapata mb 150.
Nauliza hivi hela zangu za mwanzo zimekwenda wapi alafu kuna muda mtandao ulisumbua sana au ndiyo walikuwa wanatuibia?
Vodacom acheni wizi, kweli nmeamini lile tangazo lenu la kazi ni kwako limekuwa shida.
Voda kwangu wamewekeza hivi: Najiunga kifurushi cha sh 649 mara ya kwanza kimyaa, hawarudishi message wala hawakati salio. Napiga tena kujaribu kujiunga mara ya pili, napo kimyaa na salio hawakati kabisaaa. Nasema ngoja nijaribu mara ya mwisho, napiga namba ya kujiunga mara ya tatu napo kimya kidogo kinapita. Baada ya dakika takribani tano zinaingia message wameniunganisha mara zote tatu na wamekula pesa zote 649x3! Yaani hadi najiunga tigo peke yake sasa

Kaje visiku vya nyokwe. Sisi tunaumia wewe unaleta sera mbovu za ccm hapa ? au kwasababu Voda ni ya watu wa ccm