Soko la tangawizi.

nyakim

Member
Jan 27, 2015
68
26
Wakuu habari. Ninahitaji msaada kidogo nasikia kuna viwanda vinanunua tangawizi ghafi. Kwa dar kiwanda hicho kiko sehemu gani? Na vipi bei zake zikoje? Na mzgo wanahitaji uliosagwa au ambao bado? Kwa aliyetayari naomba tuwasiliane 0766570614
 
Habari nyakim, mim niko Dar na natafuta pia soko la Tangawizi sidhani kama kuna hicho kiwanda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom