Uuzaji wa viatu vya mitumba

makoba1

Member
May 15, 2014
19
20
Naomben ushauri nahtaji Kuanzisha biashara ya kuuza viatu vya
Mitumba karume vya kiume raba n.k kwa wenye uzoefuvna biadhara hii je mtaji kiasi gan unahtajika kwa kuanzia? Na je inalipa?
 
Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
195
Mkuu ukiona hiyo inakusumbua mi nipo hapa na ni mkulima, unanipa laki 4 nalima nakupa laki 5, yaani kwa pesa yoyote utakayonipa nalima alafu muda wa mavuno unapata faida 25% wewe hushughuliki na chochote,ukitoa hela tu basi unatulia kusubiria chako.. wote mnakarabishwa
 
Raelish

JF-Expert Member
Jul 17, 2013
490
195
Hayo mazao unayolima unayavuna baada ya mda gan na ni wapi?@raelish

baada ya miezi 4 had 6, popote ninapopata shamba napiga kazi, we uktoa hela tunakubaliana mbele ya chombo kinachotambulika kisheria then unatulia kusubiri kupata 25% faida
 
mullar

Member
Mar 8, 2013
84
0
Mkuu ukiona hiyo inakusumbua mi nipo hapa na ni mkulima, unanipa laki 4 nalima nakupa laki 5, yaani kwa pesa yoyote utakayonipa nalima alafu muda wa mavuno unapata faida 25% wewe hushughuliki na chochote,ukitoa hela tu basi unatulia kusubiria chako.. wote mnakarabishwa

Unapatikana wapi mkuu
 
Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,822
2,000
Mkuu ukiona hiyo inakusumbua mi nipo hapa na ni mkulima, unanipa laki 4 nalima nakupa laki 5, yaani kwa pesa yoyote utakayonipa nalima alafu muda wa mavuno unapata faida 25% wewe hushughuliki na chochote,ukitoa hela tu basi unatulia kusubiria chako.. wote mnakarabishwa

Mkuu usitukumbushe mambo ya DECI
 
RE4ER

Member
Jan 16, 2014
8
0
mkuu hyo biashara ni nzuri lakin inahitaji kujua aina ya raba nzuri na kw mm ninavojua ili uweze kupata faida kubwa kubwa ni bora kuanza na kiasi kikubwa ambacho unaweza kupata hata pair 50 nzuri za raba
ngoja wadau waje
 
mvpthaechamp

Member
Sep 16, 2013
6
0
Wadau nami nilikua na wazo la biashara kama hii niko moshi huku nimesikia wafanyabiashara wengi huenda gikombaa nairobi kufata viatu na nguo za mitumba naomba ushauri wenu ni sehemu gani naweza pata vitu hivi
 
ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
13,942
2,000
njoo buguruni, manzese utavipata hivyo viatu unavyotaka
Wadau nami nilikua na wazo la biashara kama hii niko moshi huku nimesikia wafanyabiashara wengi huenda gikombaa nairobi kufata viatu na nguo za mitumba naomba ushauri wenu ni sehemu gani naweza pata vitu hivi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom