Poa mkuu nakucheckMinja kama unahitaji machine kubwa yaan for commercial purposes check na hawa Alibaba.com wako china mimi niliwacontact wakanipa na quotations or contact me 0717903508
Ngoja waje mkuuJamani samahani mm nipo nje kidogo ya mada. Nahitaji fish finder, hiki nikifaa chakuangalia samaki baharini. Ni very useful unavua samaki unayemtaka na kwa kuangalia deepness ya maji na kiwango cha samaki.
Nimekupata mwana revolution ngoja tuya jenge soonMkuu mtoa mada mimi pia nina interest hiyo ya kuzalisha ila ninataka nianze na kilimo chake kwanza. Pia tunaweza kupanga kukutana na kuona kama tunaweza kushirikiana kwa pamoja na kupata mashine kubwa na imara either SIDO ama kuagiza ila huo ushauri wa blender labda kwa tangawizi ya kupika nyumbani.
Uko sawa mdau ngoja tuone inakuwaje?mchakato mzima Elungata big up sna