Wenye wake zao mara nyingi wanafuliwa na wake zao, na wengi wanaoga daima hukuta kila kitu mkewe kesha muandalia sasa sijui hao masingle ila kwa wenye ndoa wengi wao huwa wanajiswafi labda kama "hubby wake"
Achana na Alex kabisa tena usije ukamwambukiza tamaa yako ndio iliyokuponza, unasema alikusaidia kimasomo, kipesa alafu ukamtosa ukamuona hafai ukakimbilia kwa victa sasa Victa kaathirika naye unamuona hafai kwa kweli vijana wasiku hizi hamjatulia kabisa wengi wao hasa wasichana tamaa ni nyingi...
nahisi unahasira fulani sasa uwongo hapo ukowapi? nikatika kufupisha tu jina, always majina ya Koku yanaendelea lakini nilikuwa namaanisha Padri/Mchungaji hawezi kubatiza mtoto jina la kokutona au Kokubelwa au Kokusima pasipo jina lingine la Kikristo au ulitaka nitaje kwa urefu? hope ulinielewa...
hiyo ni kweli kabisa kwa wakristo kuwa namajina mawili ni kitu cha kawaida.Unaweza ukawa na jina la nyumbani (ukoo) ukaenda kubatizwa Padri akakataa lazima utoe jina la Kikristo. Sidhani kama huyo binti hilo jina si lake, inawezekana nilake ila halitumiki na mwenyewe hakulitumia, ila yeye na...
zile ahadi za ongezeko la megawat za Agreko na Simbion zimeishia wapi? au ndo funika kombe mwanaharam apite?
Nanukuu: "Tunaelewa kutokana mgawo huu, uchumi wa nchi umeyumba, watu wanapoteza ajira hivyo tunalazimika kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha mgawo huu unakwisha kabisa na...
Pole Mpendwa dada, wakati mwingine hutegemea na mzunguko wengine wanamzunguko mfupi, na wengine mrefu hivyo inaweza ikakuta wewe unamzunguko mfupi ambao siku zako za hedhi ndizo siku za kupata mimba jaribu kuwasiliana na madaktari kwa hilo, ingawa inakuwa hujisikii sana kukutana na mwenzi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.