Duuh! Hii sasa kali.. kila siku jipya kuhusu Lulu

...wewe acha acha uongo KOKU ni kifupi cha jina KOKULEBA AU KOKUBANZA AU KOKUGONZA Hakuna birth certificate iliyoandika KOKU kama ulivyosema,inakuaje jina hakulitumia liandikwe kwenye birth cert. na litofautiane na majina ya vyeti vyake vya shule? huyu mwanasheria arudi darasani hajui kitu atamsababishia kifungo huyo mtoto

nahisi unahasira fulani sasa uwongo hapo ukowapi? nikatika kufupisha tu jina, always majina ya Koku yanaendelea lakini nilikuwa namaanisha Padri/Mchungaji hawezi kubatiza mtoto jina la kokutona au Kokubelwa au Kokusima pasipo jina lingine la Kikristo au ulitaka nitaje kwa urefu? hope ulinielewa. Mbona anaitwa Lulu ndio limezoeleka wakati kwenye Birth cert hana? Sio wote wanapenda kutumia majina yao yote cheti kinaonyesha majina mawili lakini unajikuta unatumia jina moja ila baadhi ya ndugu zako wakaribu au katika ukuaji wako wanalifahamu jina hilo. Kama anamakosa atafungwa, acha sheria ifuate mkondo wake. Sio mwanasheria ndio atamsababishia kifungo kwa ajili ya jina?
 
Jamani ndo maana twashauriwa katika kazi tutumie majina yaliyopo katika vyeti vya kuzaliwa...ni kwel hata mie nina majina matatu lakini sikuweza kutumia jina la ubatizo kwenye cheti cha kuzaliwa...hata hivyo haya ni ya ngoswe abaki nayo mwenyewe!
 
Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina jingine ni Diana Elizabeth ambalo si maarufu. Akijibu swali la Hakimu, wakili wa Lulu a.k.a Elizabeth a.k.a Diana, bwana Fungamtama alisema ni jambo la kawaida hasa kwa wakristu kuwa na majina mawili.

My take: ni kweli huwa tuna majina mawili, mara nyingi ni jina la asili/kiluga na jina la kubatizwa ambalo mara nyingi huwa ni la kizungu. Sasa hyo ya Lulu inaonyesha utata na weledi mdogo wa mawakili wetu kutetea uongo. Wanaweza kusababisha hukumu mbaya kwa huyo binti.
Kweli ww ni mbumbumbu tena plus,ss hapo la ajabu ni lipi?kwani lazima upost umbea wako hapa,kama vp kaombe kazi kwenye magazeti ya udaku huko hapa si mahali pako,je ni mara yako ya kwanza kuona mtu anaitwa Maria Consolatha,Diana Rose,Maria Renalda nk?lol!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom