Natafuta fremu ya biashara

Mkombozi

JF-Expert Member
Feb 19, 2008
806
426
Wakuu,natafuta fremu ya biashara ya kawaida sehumu yenye mkusanyiko wa watu wengi kama Kariakoo,Tandika au sehemu za stand kubwa au vimiji vidogo vya Dar.Mwenye info apost tu hapa hapa
 
frem ipo makongo juu mwisho magari yanapogeuza karibu nakituo cha daladala wasiliana 0719453300
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom