Wasifu wa ndani Mh. Catherine Magige na nia yake ya 2015

Status
Not open for further replies.
Huyu Catherine magige amekuwa tishio kubwa kwa watu hadi kuanza kumchafua kiasi hiki wakati hata mwaka 2015 haujafika. Tuache fitina za kijinga kiasi hiki na tufanye mambo ya msingi. Mbona huyu dada ni mzuri tu na amekuwa akijitahidi hata kuzungumza na kuchangia hoja kwa njia za maandishi. Kilicholetwa hapa ni mwendelezo wa bifu na chuki zinazofanywa na wabaya wake kisiasa kwani, aliposhinda ubunge wengi waliumia sana na kuahidi kulipiza kisasi kwa kumpaka matope. Catherine endelea kuchapa kazi na kusaidia vijana wa Arusha na wilaya zake, kamwe usikatishwe tamaa na mijitu yenye chuki na wivu. Mtakufa kwa roho zenu mbaya!
 
Catherni amewaumbua wanafiki, amechangia hotuba ya sheria kwa hekima na kushusha nondo tofauti na wapiga kelele bungeni. Kazi kwenu mtaumbuka sana kudadeki zenu.
 
Huyu mbona elimu yake haipo, au ndio wale wa kufog vyeti?
 
Saranda sijui saramba why unapoambiwa ukweli unapinga, au ndiyo unapambana kuhakikisha waliokuwa kumchafua Mhe. Magige wanakusifia kwa ulichofanya, acha mambo ya kishamba mwanaume lakini kama demu bana. Mwacheni afanye kazi aliyotumwa na machalii wa arusha kwani, kuna wabunge wangapi wengine wako CDM wanafanya uchafu wa kutisha. Sijaona baya la Catherine.
 
maranya huyu mtoto niwamusoma baba yake nimtu wamusoma mzee magige ila ameishi arusha namama yake nimmarangu wamoshi ndomaana toto lipo bombo musoma kachanganya nachaga primary kasoma kimandolu arusha secondary kasoma kwafather babu pale ngarenaro namfahamu sana namwakajana nimeona akichangia sacos yawalimu nakukabidhi vitabu shule aliyomaliza form four niliona kwenye tv namagazeti. wenye chuki nahuyu dada mtapata kazi nyie mpondeni lakini ndohivyo
 
Jamani mwogopen mungu mbona mmemvaa sana binti wa watu? Na leo kachangia vizur sana mi nimemwona via tbc. Na sio kweli kuwa analiwa na wakubwa ni wivu tu unawasumbua kwasababu bibie mrembo haswa
 
Ha ha ha ...is it possible to become a man, No longer at is for things fall apart...Caty...ha ha ha....
 
Leteni cv za viti maalum chadema hapa kama hamjacheka adi mfe ukianza na mama mbowe grace kiwelu, ni aibu tupu
 
...Kuna wanaJF wanatoka jasho sana kumtetea huyu bidada wa Bunge. Tumalize Ubishi. Tunawaomba hawa watetezi watupe basi CV yake maana ile ya bungeni faili lake lipo TUPU! ...Hilo tu.
 
...Malizieni kwa kutuwekea CV yake ya kweli basi maana ile iliyopo bungeni faili liko wazi. Pia punguzeni kutoka jasho na hamna haja ya kutukana. Kama nyinyi ndio aina ya watetezi wake haishangazi basi kupakaziwa anaypakaziwa! Jengeni hoja sio matusi...!
 
...Kuna wanaJF wanatoka jasho sana kumtetea huyu bidada wa Bunge. Tumalize Ubishi. Tunawaomba hawa watetezi watupe basi CV yake maana ile ya bungeni faili lake lipo TUPU! ...Hilo tu.

si habari ya kutoka jasho. Kama mnamjadili bidada mjadilini kwa heshima. Sio habari ya kumvua nguo hapa. Jadilini siasa sio analala na nani.Period.
 
Dah!Ni balaa nimemuona leo wakati anachangia kwenye bajeti ya wizara ya katiba na sheria alikuwa anajiumauma tu mara asahau anachoongea mpaka asome!
 
Dah!Ni balaa nimemuona leo wakati anachangia kwenye bajeti ya wizara ya katiba na sheria alikuwa anajiumauma tu mara asahau anachoongea mpaka asome!

Umeona eeh, alikua anajiuma kweli bhana. . .kumbe na wewe ulimuona eeh?
 
mwaka 2005 hadi 2006 Catherine alisoma certificate chuo cha CBE kampasi ya Dar.
kuanzia 2006 alikuwa anasoma diploma ila sifahamu kama alihitimu.
pia kuna kipindi alifanya kazi Diamond Trust Bank.

Alifanya Barclays Slipway halafu akahamishiwa Barclays kariakoo mtaa wa Mkunguni-ni mdada mstaarabu na laiti wote mnaomsema vibaya mngepata bahati ya kumjua vizuri msingekuwa mnasema haya!! Kumlaumu kwa kuchanga karata zake vyema ni makosa kwani sote tunapenda kupata mafanikio kwenye maisha
 
ili Tanzania ifanane na utajiri ilionao inatakiwa LEADERSHIP yenye uwezo,upeo, na nia thabiti ya kututoa hapa. Kumbuka TUMO SHIMONI na ni lazima tutoke haraka. Ndio maana ni muhimu kuwafahamu viongozi wetu NJE/NDANI, na hasa hawa wanaoingia/wanaoingizwa sasa. Kumbuka pia Bunge ni CHOMBO CHA KUTUNGA SHERIA na kusimamia DIRA yetu. Bunge si kijiwe cha kusaini posho. God bless the blind majority.
 
Inasemekana hata hili jina analotumia sio lake....
Alinunua cheti cha Form IV kwa mwenye jina hilo ambaye ana udugu naye, yeye hakumaliza baada ya kutundikwa mimba na wajanja akiwa shuleni!
Inasemekana alipata chance hiyo kutokana na kuwa mke mdogo wa Waziri!
Kwa hiyo mhe. Waziri alimua kwenda bungeni akiwa na mke mdogo, akafanya mpango akafanikiwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom