sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,283
- 976
Msanii anayehusishwa na kifo cha Kanumba, almaarufu kama Lulu kwa jina la kiofisi, inasemakana anamajina mawili ya kikristu. Huitwa Elizabeth Michael kama ambavyo huwa anajitambulisha, na jina jingine ni Diana Elizabeth ambalo si maarufu. Akijibu swali la Hakimu, wakili wa Lulu a.k.a Elizabeth a.k.a Diana, bwana Fungamtama alisema ni jambo la kawaida hasa kwa wakristu kuwa na majina mawili.
My take: ni kweli huwa tuna majina mawili, mara nyingi ni jina la asili/kiluga na jina la kubatizwa ambalo mara nyingi huwa ni la kizungu. Sasa hyo ya Lulu inaonyesha utata na weledi mdogo wa mawakili wetu kutetea uongo. Wanaweza kusababisha hukumu mbaya kwa huyo binti.