Recent content by makenga 1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wapiga Kura 37m vs Walipa kodi 2m?

    Rudi shule ndugu yangu ujifunze kuhusu TAX, Kuna direct tax and indirect tax
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwaresma 2018 Special thread...

    Natanguliza samahan Kwa nitakae mkwaza, ila mie naomba kuuliza tafadhali, Katika hii sala ya Maria, anatajwa Maria kama mama wa Mungu, Ina maana yesu ndio Mungu ama?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki acha ushamba, Hamisa Mobeto hana hata Mahari ya kuku kumi (10)

    Mahari ni makubaliano ya mume na mke, ww kama hauna uwezo wa kutoa kias hicho ni ww. Na ndio maana Kuna mwingine anaweza kutoa gari kumpa mwanamke, lakini mwingine hata kumpa mwanamke laki Moja hawezi. Kwa hiyo huo sio ushamba bali mfuko unaruhusu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mpishi wa Chapati

    Yupo kijana nae mtaalam sana ukihitaji nambie nikupe namba
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ugonjwa wa typhoid huenezwa kwa njia ya kujamiiana?

    Wakuu nilipata homa nikapima nikakutwa na tyfoid, nilivoanza kupona mara homa ikajirudi tena, je inaweza kuwa na mke wangu ana ugonjwa huo pia? Na kunisababisha kurudi Kwa homa ya tyfoid kama ilivyo Kwa UTI?
  6. M

    JamiiForums Tanzania SUA wazindua nyama zanizotokana na mimea

    Taarifa hii ni kutoka Azam TV siku ya jumapili. Chuo Cha SUA wameweza kuanzisha teknolojia ya mimea inayopandwa shambani na kuweza kuzalisha nyama inayoweza kuliwa na mwanadamu, mhariri wa taarifa hii ni Claud Mshana kutoka Azam TV. Wataalam njooni mtuambie hiyo inakuwa ni nyama au mbogamboga...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anahitajika Mpishi - aweze kupika vitafunwa na chipsi

    Hello, Ushapata au bado?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kaz ya upishi wa bites/vitafunwa

    Mimi Ni mtaalam wa kutengeneza vitafunwa mbalimbali kama maandaz, sambusa, half cake, kababu, egg chop, piza, Bajaj, n.k. Hivyo natafuta nafas ya kaz sehem yoyote ile, ila kwa Sasa nipo Mwanza. Kwa ataesikia au anafaham, msaada plz 0714799804
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta viti vya plastic (used)

    Nipo mbez Luis no.0622997819
  10. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta viti vya plastic (used)

    Habarin za jion jaman. Ninahitaj kufungua biashara, hivyo nahitaji viti vya plastic Ambavyo tayar vimeshatumika, kwa mwenye kuwa navyo au anafaham aliyekuwanavyo anisaidie tafadhal.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya boda boda

    Habari za Leo wana JF? Ndugu zangu naombeni mnishauri mwenzenu. Mtaji niliopata ni laki 7, nahitaji kununua bodaboda kwa ajili ya biashara ya bodaboda. Je, biashara hiyo inaweza kunitoa kweli?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Njaa kali inakuja kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab

    mkuu kina nani hao wanopiga makelele alfajir?
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba muislam

    Inshallah! Nimekuelewa
Back
Top Bottom