Njaa kali inakuja kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab

maatope

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
1,424
957
Ni baada ya Mr Makonda kusema mwisho wa kupiga mziki kwenye kumbi za wazi ni saa sita usiku badala ya saa tisa kama ilivozoeleka
hili ni balaa kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab, Hapa Kazi Tu

Ombi langu pia kwa mheshimiwa Makonda asisahau na alichoombwa na wabongo movie kuzuia movie za nje zisitazamwe dar es salaam ili kuongeza uzalendo wa filamu zetu za nyumbani
Hapa kazi tu
 
NAOMBA ASIINGILIE SOCIAL LIFE KWANI SEKTA YA BAR,CLUB ZIMEAJIRI WATU WENGI SANA NA PIA NI NJIA YA WATU MBALIMBALI KUTAFAKARI JUU YA MAISHA YAO NA KUSTAREHESHA NAFSI ZAO.
*MIJI YOTE DUNIANI HILI LIPO!
*LAKINI KUDHIBITI KELELE NI MUHIMU SANA.
 
Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Wananikeraga sana wale mabokoharam
 
Kuna hawa walokole na maspika makubwa na mapambio juu wanakera balaa kuna siku hua natamani nihame mtaaa kuna makanisa ka matatu mi shida
 
mijitu mengine bana yaani mada ilo letwa nyengine kabisa wstu washaleta maswala ya udini.All i all Noise polution haifai ma haitakiwi,haijalishi kelele hizo zinatoka bar,klabu,vigodoro,nyumba hata nyumba za ibada.Ibada zifanywe bila kukera majirani.Mi sioni kama adhana ya dakika 3-5 ni tatizo kama ikitolewa kistaarabu,ingawa kuna baadhi huwa wana over do na kuifanya kero.anayetaka adhana ikatazwe ilhali kengele za kanisani hazizungumzii ni mnafiki.
 
Upatikanaji wa movie za nje labda waifungie na youtube isipatikane tanzania
 
Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
mimi hawa jamaa wanaopiga kengele, ma-speaker, na jinsi wanavyopiga kelele huko ibadani(wanapiga kelele utafikiri wamebakwa au wanapandishaga kichaa) hua inanikera sana
 
Wananikeraga sana wale mabokoharam
vip kuhusu kengele, ma-speaker makubwa, kuimba kwa kulia, kupiga kelele, kupiga vigelegele..au umezoea mfumo flani.. au ndio unafikiri kwa kutumia tundu linalotolea uchafu mkubwa wa mwili.. jipime..
 
Ni baada ya Mr Makonda kusema mwisho wa kupiga mziki kwenye kumbi za wazi ni saa sita usiku badala ya saa tisa kama ilivozoeleka
hili ni balaa kwa wanamuziki wa Dansi na Taarab, Hapa Kazi Tu

Ombi langu pia kwa mheshimiwa Makonda asisahau na alichoombwa na wabongo movie kuzuia movie za nje zisitazamwe dar es salaam ili kuongeza uzalendo wa filamu zetu za nyumbani
Hapa kazi tu
Hili swala la kuzuia muvi za nje ni upuuzi, hawa waigizaji wa bongo muvi hawajielewi kabisaaaa....wao wameshapata target market Yao i.e house girls, wanawake wa uswahili, abiria wa mabasi wanaolazimishwa kuangalia coz hawana choice....ni vyema waendelee kuwaridhisha hao wateja wao....binafsi sitatoa hata sh.10 yangu kununua kazi ya mbongo muvi yeyote...mpaka watakapojua wanachohitaji, wanachokosa, na uwezo wao (SWOT). Nitaendelea kununua na kustream muvi ambazo zina thamani ya Muda na pesa yangu. Specifically from Hollywood. Wanafki wakubwa hawa.
 
Tunaomba awapige marufuku na wale jamaa wanaotupigia mikelele alfajiri alfajiri wakati sisi tunataka kulala usingizi wetu...Au double standard, eh?
Nimefurahi, asiwasahau na wale wanaokesha kwa mikelele kwa kisingizio cha bwana. Hamna kuitana watoto wa waganga.
 
makonda anakurupuka,,,bar unatakiwa ulipe wafanyakazi ,ulipie gharama nyingine za uendashaji,,,halafu mda wa kufungua ni saa 7 hivi hapo ukiniwekea limitation nina earn nini sasa
 
Back
Top Bottom