Recent content by Makala Jr.

  1. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania WHO: Takriban watu Milioni 3.2 hufariki kila mwaka Duniani kwa kutofanya mazoezi

    huu uzi ni makini sana. tufanyeni mazoezi tuache visingizio
  2. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hili la Dkt. Magufuli kutumia kisukuma kwenye kampeni siafiki

    Wabongo bana kukosoa tu kila kitu... kuna shida gani kutumia kisukuma? sasa kama kautana na watu wa kwao unataka aongee kiswahili?
  3. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Kama miaka ilihesabiwa kurudi nyuma je mtoto mchanga aliwazidi wazazi wake umri?

    Hapo si rahis tu fanya hesabu za kutoa na kujumlisha tu mfano... 300B.C toa 250B.C unapata umri chaap kabisaaa
  4. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Kudumaa kwa bei ya zao la mahindi na dhana ya TZ ya viwanda

    Pole sana boss. Serikal ya Viwonder hii
  5. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Ni mtu gani kakiki zaidi mwaka 2017 Tanzania?

    Bashiteee na dk loius
  6. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Africa itachukua miaka 500 kuwa kama America na Ulaya- Bill Gates

    Hiki ulichokiandika hapa ni kilema kwa mwafrika kiukwel miaka 500 inaweza zidi hapo au kama utafanyika muujiza wa kuleta elimu mpya itakayomkomboa mtu mweusi na si hii ya kuletewa na mabeberu. Elimu bora ndo kila kitu zingine mbwembwe tu
  7. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Msichana kaniona mara moja tu kanitongoza. Hivi ni umalaya au uhuru wa kuongea?

    Maajabu mengine haya ya dunia
  8. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Jinsi Ya Kujua Fursa Za Kibiashara Zinazokuzunguka Hapo Ulipo Sasa

    Umetema point tu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Umebarikiwa sana mkuu. Baraka zako zinatubariki na wengine. Live long ontario Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Kwa material & vitabu vya CPA pitia hapa

    Pongezi sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi kutoka kampuni ya Aim Intenational and Empowering Generation

    Nakuja inbox fasta mzee baba Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania ONTARIO'S JF Exclusive Interview: Ujasiriamali na harakati za maisha kwa ujumla

    Tangu post ya kwanza huyu 666 anaandika pumba tu. Mkuu ontario mpotezee you are the captain for this hustling. Im counting on u bro. Achana na wanga ndo zao Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania WW1, WW2 na kinachoendelea sasa Middle east vilipangwa mwaka 1871 kama barua hii ni kweli

    Bwana wee hawa watu wawil eiyer na mseza mkulu wapo smart sana. Nimefurahishwa sana na kutolewa ujinga kwa kiasi kikubwa na eiyer na hili lisingewezekana bila maswal na mtazamo wa mseza mkulu. Tunameng ya kujifunza kutoka kwenu Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania I miss my ex man so much jamani

    Duuuh interesting! Hii ni hatar kama volcano Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Makala Jr.

    JamiiForums Tanzania Jaza ujazwe ya Tigo yaleta kizazaa, Jamaa atishia kuwashtaki

    Ngoja wakusikie utajib mwenyew
Back
Top Bottom