Naunga mkono hoja, ametisha sana Dr. Tunasubiri hivyo viwanda 30.dr luis
Hii orodha ukiigeuza kichwa chini, miguu juu itakuwa poa sana. Dr. Louis hana mpinzani.1. Makonda
2. Makinikia
3. Tundu Lissu
4. Hamorapa
5. Louis shika
Mkuu wewe unataka mambo serious tu muda wote?Kiukweli nadhani waliosema kila zama na mambo yake hawakukosea.
Kiukweli jamii forums ile iliyonihamasha hadi kujiunga nayo kwa sasa imepotea maana sio kwa threads hizi
kweli mkuuHapana Harmorapa apewe heshima ya mwaka 2017...au kama hata pewa huyo upewe mji wa KIBITI
Tatizo dk Shika mikoani hawamjui wala hawajui kafanya niniHii orodha ukiigeuza kichwa chini, miguu juu itakuwa poa sana. Dr. Louis hana mpinzani.