Recent content by Majula Jm

  1. Majula Jm

    Ipo siku walimu wataamka

    I c"The best! c and bcbb. baby baby baby
  2. Majula Jm

    Natafuta wadau tushirikiane katika kilimo na ufugaji

    Ukitafuta wafanyakazi nitafute. Mtaji wangu ni nguvu zangu.
  3. Majula Jm

    Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    story kama hizi muwe mnanitag basi na mimi siyo nyie tu muwe mnafaidi
  4. Majula Jm

    Tatizo la Kukosa Usingizi (Insomnia) na tiba yake

    Je ambao tuna matatizo ya kusinzia mfano wakati wa darasa au kipindi cha mahubiri kanisani. yaan sehemu yoyote ile inayokuwa na mda mrefu wa mazungumzo. Je hapo shida nini?
  5. Majula Jm

    Je, Sheria inasema nini kuhusu ardhi ya mtu binafsi kutumika kwa ajili ya manufaa ya Umma?

    Wale ambao aridhi zao zinachukuliwa bila fidia inakuwaje yaaan?
  6. Majula Jm

    Vodacom tumewachoka

    [emoji849][emoji848]
  7. Majula Jm

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    wateja wanatofautiana tabia wengine hupenda kununua vya bei ya juu. us a prestige. kuna wale kina sie kama hajapunguza bei hununui hata kitu cha buku. utasikia bei ya kuuzia ngapi sasa hapo?
  8. Majula Jm

    Ushauri wenu ni muhimu sana kwangu

    Kama kweli anapenda uhasibu afate ushauri huuu
  9. Majula Jm

    Makosa ya Jinai: Pale Mwanaume anapobakwa

    si na mwanamke au mwanamke yeye habaki?
  10. Majula Jm

    Muuguzi aliyepona ajali tatu za meli ikiwemo titanic

    kwani TITANIC na OLIMPIC iliyoanza kuzama si TITANIC maana nimepitia waandishi mbalimbali wanasema TITANIC ilizama siku ya kwanza tu ya safari. na wanasema kabla haijaanza safari ilikua ikiisubiria meli ya olimpic ambayo zilitengenezwa pamoja au mimi ndo nilisoma vibaya?
  11. Majula Jm

    Makosa ya Jinai: Pale Mwanaume anapobakwa

    Hivi mwanaume akibakwa kwanini haruhusiwi kwenda mahakamani na kusema kabakwa? msaaada jamani kwa wanaojua sheria.
  12. Majula Jm

    Zanzibar: Tani 112 za mchele uliokwisha muda wake zateketezwa

    Zanzibar huwa hawalimi mara nyingi wana import mzigo toka nje kama Pakistan.
Back
Top Bottom