Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Mimi ningekushauri uende kufundisha maana ajira ya serikalini haiishi kwa kushtukiza kama ajira binafsi. Kesho unaweza amka ukakutana na barua sijui ya redundance Mara mkataba ukiisha hauongezewi mara sijui kampuni imefilisika yaan vurugu tupu lakini serikalini labda uamue wewe kuacha.
Kafundishe, unaweza kopa ukawekeza kama ulivyosema then ukawa unalipa kwa kukatwa kidogo kidogo.
Kafundishe, unaweza kopa ukawekeza kama ulivyosema then ukawa unalipa kwa kukatwa kidogo kidogo.