Vodacom tumewachoka

Vodacom tumewachoka

Suluhisho ndo hilo bwana, Kama huna pesa za kumudu kasi ya maendeleo ya mtandao wetu pendwa hamia tu mitandao mingine na sio kulia lia kipumbavu Kama mleta mada.
Tofautisha kati ya kulia na wizi wanaofanya nyie ndio mnaosababisha wasibadilike na kuendelea kuumiza watu yani kiufupi haujaelewa mada,shida sio kasi ya maendeleo wala ubora wa mtandao issue ni kwa nini wanakata salio nililoweka kwa hela yangu bila taarifa?
 
Hujaelewa mada kabisa nyie ndio mkipewa dhamana ya uongozi wowote mtasaini mikataba hata bila kusoma wewe ni mvivu wa kusoma na kuipambanua mada tajwa
 
Tofautisha kati ya kulia na wizi wanaofanya nyie ndio mnaosababisha wasibadilike na kuendelea kuumiza watu yani kiufupi haujaelewa mada,shida sio kasi ya maendeleo wala ubora wa mtandao issue ni kwa nini wanakata salio nililoweka kwa hela yangu bila taarifa?
Hayo sasa ni matatizo yako binafsi sio ya Kila mtumiaji was Vodacom....sipendi watu wanaopenda kugeneralize matatizo yao binafsi kwa watu wote as if wote tunaibiwa.....mnauchafua mtandao wetu pendwa bwana.
Hebu hamieni mitandao mingine mtupishe asee.
Natumia voda mwaka wa kumi huu sijawahi kuibiwa hata sumni!!
 
Yaani nina laini zote nikianza kuzibadilisha badilisha issue ni data mwisho najikuta nimerudi kwa hawa majamaa ya Voda hahahaa
Baki njia kuu mkuu,,kwa hapa TANZANIA Mimi sijaona mtandao wa kunishawishi nihame Vodacom.. mtandao bora kabisa uwe mjini au vijijini,,milimani na mabondeni unatwanga tu..sio hiyo mitandao mingine mpaka utoke ndani au upande juu ya mti ndo upate network
 
Vodacom ni zaidi ya majambazi,huko vifurushi vya internet ndio wanaiba bila aibu
Habari!
Hivi wakuu Vodocom mbona wanatuibia hivi, asubuhi nimenunua muda wa maongezi 1000 hawajakata nikaongezea 1500 ili niunge kifurushi cha wiki 2500 matokeo yake naambiwa sina salio la kutosha, kucheki salio ipo 2000 sh.500 wameikata na hakuna sms inayoonesha makato hayo.

Nimepiga customer care kwanza matangazo ni mengi mara nipige tafu, shangwe shangwena! Kha kwani hiyo customers care ni kwa ajili ya kutusikiliza na kutatua changamoto au matangazo! Haya, anakuja kupokea huyo Mtoa huduma anasema tu hiyo 500 ulikatwa kwasababu umejiunga na sport mapene sijui(sijawahi) namuuliza namna gani naweza jiondoa anajibu nakutoa mimi huku kwenye system inakera sana.

Kama kuna wadau wa voda mtapitia uzi huu tafadhali rekebisheni hivi vìpengele
1. Mpunguze kuongea tunapopiga no yenu ya customer care ili changamoto zetu zitatuliwe kwa haraka matangazo yenu tafuteni namna nyingine ya kuyafikisha
2.Mteja akilalamika kukatwa salio msijitetee kwa kusingizia kuwa kuna huduma uliyojiunga umekatwa ada na mimi mtumiaji sijawahi jiunga.

Asante!
 
Voda sikio la kufa lisilosikia dawa..wanalalamikiwa Sana lakini hawajirekebishi.
 
Tatizo ukilikuta Vodacom jua hata Tigo, Airtel na Halotel mpaka Zantel nalo lipo, hivyo Kikubwa ni kuanza 'Kusali' Kwanza tu ukinunua 'Vocha' zao.
 
Vodacom wezi sio kidogo wanachukua pesa hivyo hlf wanakusingizia um jiunga kitu Fulani wanajua utahisi umejichanganya co utpotezea zen imeish hvyo.
 
Na ukiuliza huduma gani nimejiunga na nawezaje kujitoa? Majibu Yao ni wizi mtupu! Hivi kwani kuna watu wanashindaga kweli hizo tusua mapene sijui mara sports au ndio mwendelezo wa wizi?
 
Vodacom wezi sio kidogo wanachukua pesa hivyo hlf wanakusingizia um jiunga kitu Fulani wanajua utahisi umejichanganya co utpotezea zen imeish hvyo.

Mkuu network ya 4G ya vodacom ni kama V 8 kwenye consumption ya wese
 
Back
Top Bottom