Recent content by major2

  1. major2

    Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  2. major2

    Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Acheni unafiki na majungu nyie,sema hamna pesa za kujiunga .[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  3. major2

    Wauzaji wa bidhaa za forever living mnaboa sana!

    Forever living ndio mpango mzima.Acheni kuongea mambo msiyoyajua.Acheni wanaojua tufanye.Tatizo wabongo majungu na tuna Black Mind asilimia kubwa.
  4. major2

    Rais Magufuli kuhutubia kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba

    TBC wanaonyesha wachina sasa hivi.
  5. major2

    Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi

    Mungu Ibariki Tanzania
  6. major2

    Dodoma: Watu wanne wakiwamo Polisi wawili wafariki dunia kwenye ajali mbaya ya gari

    Namkumbuka huyu kaka,nilipataka majanga ,yeye ni askari na akaona kwamba naonewa alichukuwa uamuzi wa kwenda kwa R.P.C na next day nikaachiwa huru mpaka sasa,na hakuwa ndugu yangu wala rafiki yangu.Alikuwa ni mtu mwenye roho ya pekee sana.R.I.P Sasi Mwita
  7. major2

    Darassa hii sasa too much, Wimbo wa 'Muziki' umetikisa Bongo nzima

    Angalia show aliyofanya Jana mbeya ndio utajua maana ya kinachoongelewa
  8. major2

    Nimepata Chuo lakini nimekosa ada naomba Ushauri/Msaada

    Nilitegemea kupata Bodi ya Mikopo,wamenitosa.
  9. major2

    Nimepata Chuo lakini nimekosa ada naomba Ushauri/Msaada

    Habari wanajamvi, Poleni na majuku, Niko hapa kuomba ushauri.Nimebahatika kuchaguliwa Chuo kikuu Huria Tanzania kwa Masomo ya shahada ya Kwanza ya Sociology 2016/17. Mpaka dakika hii sijapata ada na tarehe ya Kureport ni tarehe 4/12/2016.Naombeni ushauri wenu.Nifanyeje? Epuka kukejeli au...
  10. major2

    Aliyerekodi video ya mapenzi na Wema iliyovuja adai bibi yake amefariki kwa presha baada ya kuiona

    Ndio ukomo dogo,Umeona sasa Future yako inaenda kuharibika.Achana na majima ya mjini yaliyoshindikana
  11. major2

    Asiposhinda Hillary Clinton nahama Tanzania...

    Mkimbizi ameshabeba begi?
  12. major2

    Open University wabadili tarehe ya Orientation

    Awamu ya kwanza ni kama laki 540,000 hivi ila inategemea na Course
  13. major2

    Open University wabadili tarehe ya Orientation

    Ndio wametoa announcement kwenye web yao.Mimi mwenyewe nashukuru Maana hali nilikuwa mbaya.
  14. major2

    Open University wabadili tarehe ya Orientation

    Open University wamebadili tarehe ya Orientation kwa Mara nyingine tens toka tarehe 12-14 November mpaka 2-4 December.
  15. major2

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Hivi wamejuaje kuwa waliomba mkopo ni walevi?Hii inasikitisha sana .Mungu anawaona
Back
Top Bottom