Rais Magufuli kuhutubia kutoka uwanja wa Kaitaba Bukoba

Status
Not open for further replies.
Hongera Wahaya kwa kujitambua maana leo siku ya kichaka kazi nanyi mmebaki kazini kwenu kuliko kwenda kusikiriza porojo
mkuu,niko kulia kama unaingia huu mlango wa magharibi,wa uko wapi?
Apeleke pesa za rambirambi.
sawa,upo uwanjani?
Alete pesa ya rambirambi
mkuu,mie nipo pale rwamishenye,chini ya ile njia inayotoka chemba!
Tukimaliza huu Mkutano,twaweza onana pale Q Bar tupate konyangi mbili tatu?
 
Ewe Mtukufu raisi uliyepinga fedha za serikali kunufaisha Mabenki Binafsi Naomba urudi kwenye msitari ukatae pia fedha za serikali kwenda kunufaisha vyombo binafsi vya habari ni wakati sasa wa wewe kuanza kutumia vyombo vya serikali ili fedha hizi zibaki serikalini

NB

Ewe mtukufu Raisi tunaomba uache kupromote Vyombo binfsi na badala yake uanze kupromote vyombo vya serikali,yaani namaanisha uache kale katabia unakokapenda ka kupiga simu Clouds Media na simu hizo sasa uzielekeze TBC MEDIA hilo ni ombi tu.MKIONA ALITEKELEZEKI MSIMLAZIMISHE Maxence Melo awape taarifa zangu.
 
Kwa wale wanaopendelea kusikia hotuba mubashara ya Rais Bukoba ingia hapa; AzamTV
Mwambie amwachie Lema,Lema hajamzuia kuwakopesha wanafunzi mkopo,mwambie tena mwaka huu tunataka bunge live hii nchi sio yake peke yake,hamkusaidia mungu kuiumba,mwambie Kama alichangia sementi kiasi gani kuijenga mungu amrudishie
 
Ewe Mtukufu raisi uliyepinga fedha za serikali kunufaisha Mabenki Binafsi Naomba urudi kwenye msitari ukatae pia fedha za serikali kwenda kunufaisha vyombo binafsi vya habari ni wakati sasa wa wewe kuanza kutumia vyombo vya serikali ili fedha hizi zibaki serikalini

NB

Ewe mtukufu Raisi tunaomba uache kupromote Vyombo binfsi na badala yake uanze kupromote vyombo vya serikali,yaani namaanisha uache kale katabia unakokapenda ka kupiga simu Clouds Media na simu hizo sasa uzielekeze TBC MEDIA hilo ni ombi tu.MKIONA ALITEKELEZEKI MSIMLAZIMISHE Maxence Melo awape taarifa zangu.
Nakuunga mkono kwa hilo!
 
mkuu,niko kulia kama unaingia huu mlango wa magharibi,wa uko wapi?

sawa,upo uwanjani?

mkuu,mie nipo pale rwamishenye,chini ya ile njia inayotoka chemba!
Tukimaliza huu Mkutano,twaweza onana pale Q Bar tupate konyangi mbili tatu?
Asante mkuu ila siko hapo hometown mkuu, si unajua maisha
 
Nko Namuangalia apa ata smuelewi naona anakwenda nyuma mara mbele kushoto kulia
kwa kifupi naona ana horora tuu ...
watu wenyewe wachachee wanacheka tuu wakat sion ata cha kuchekesha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom