Swali: Yupo wapi Bernard Membe?
Je, nini kimekwamisha Membe ?
Je, Membe alikuwa anatania kugombea uraisi ?
Je, ACT Wazalendo walikuwa na matumaini gani kwa Membe?
Je, Membe alikuwa kwenye mpango wa kukitokomeza chama cha ACT Wazalendo Tanzania bara?
Nini kimefanya ndoto za Uraisi kwa Membe...
Tangia tar 7 serikali kupitia tamisemi ilitangaza rasmi kifungua dirisha la kutuma maombi ya ajira kada ya Ualimu.
Lakini cha ajabu system yao imekuwa kizungumkuti, ukiingia inaload tu haifunguki
Na hatapale unapoivizia usiku ikifungua kuna vipengele vinakuwa havifunguki.
Je, hii changamoto...
Bayern ni Thiago
Thiago asipotembea Barcelona inashinda game kirahisi tu...
Ili Bayern icheze Thiago ndo mchezeshaji
Hawa akina Lewendoski sijui Glaby sijui nani ni Wakawaida sana mbele ya Barça [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajichanganya sana Kwa kulinganisha individual achievement na Collective achievement
Tunapozungumzia performance kuna individual performance na Collective performance...
Hapa unapogusia makombe hayo ni Collective Performance.. Kuanzia mfagiaji hadi Uongozi wa juu...
Ndo maana Team...
Messi's goal and assist stats for every La Liga season [emoji41]
Yellow: [emoji117]Goals
Red: [emoji117]Assists
Wasatani wa kuscore ni goals 30+
Messi amehusika jumla ya Goals 40+ msimu huu, unaposema ufungaji umepungua unataka kumaanisha nini wakati jamaa amekuwa bora zaidi kusaidia Team...
Hivi unajua Messi ni zaidi ya mchezaji wa Barça?
Hivi unajua La Liga nzima kwa sasa inabebwa na Messi?
Hivi unajua dunia nzima Inamwangalia Messi?
Yaani upuunzi wa Uongozi kufanya sajili za Kibuuzi mzigo umwangukie Messi
Ubinafsi wa Messi upo wapi? Kuendelea kubaki kwenye team ndo...
Kwa huyu Dada ake ndo ana ruhusa ya kutumia Twitter? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kuweni serious, Pamoja na hayo tufahamu kuwa hizo instagram, Fb, Twitter nk si lazma ziwepo kila nchi
Kuna nchi zinatumia platform zingne..
Unawezaje kusema hawatumii mitandao ya kijamii...
Wakati mwingne unatakiwa kukubari marokeo na kumheshimu mpinzani,
Ukweli ni kwamba yanga walituzidi kimbinu
Matokeo ya
Simba Vs Yanga
R. Madrid Vs Barça
Man Utd Vs Man City
Zote hizo zimeamuliwa kimbinu na bahati pia lakini haina maana Team zilizoshinda ni bora kuliko...
Ninadhani ametoa adhabu kujinadi hasa Kwa namna ya mfumo ulivyo kwa sasa (politics)
Amelitumia jukwaa kwa faida yake binafsi pasipokujari nafasi (haki) ya muazibiwa
Amepuyanga[emoji848][emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona huna uwezo wa kubeba ubingwa basi kamia mpige bingwa then endelea na utaratibu wa kawaida[emoji23][emoji23]
Alisikika mlevi mmoja akiwa kibanda umiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Barça kwa sasa inahangaika, ni kama inabahatisha kwenye usajili yaani haielewi inachofanya
Kila sajili wanayofanya inakuwa ina mshaka....
Ni ajabu sana kuona Barça ya sasa haijui ubora wa wachezaji wenye sifa ya kucheza Barcelona
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.