joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,866
- 39,640
CHAI.Hiyo ya kiongozi kusinzia kwenye kikao na kiduku unapigwa risasi ipo wala siyo chai nadhani mwaka jana au mwaka juzi kuna kiongozi alipigwa shaba na ilitangazwa kabisa
In God we Trust
CHAI.Hiyo ya kiongozi kusinzia kwenye kikao na kiduku unapigwa risasi ipo wala siyo chai nadhani mwaka jana au mwaka juzi kuna kiongozi alipigwa shaba na ilitangazwa kabisa
In God we Trust
Sheria za korea kusini zinakataza raia yoyote wa korea kusini kutembelea korea kaskazini pasipo kibali maalumu.Kama ulikua huijui vizuri Korea Kaskazi ngoja nikueleze;-
Sheria za Korea Kaskazini:-
Korea kaskazini - raia wa korea kusini haruhusiwi kabisa kuingia korea kaskazini, ila raia wa korea kaskazini anaruhusiwa kuingia korea kusini bila viza,
Unajua korea kaskazini kuna Pyongyang University of Foreign Studies moja ya lugha wanayofundishwa ni kiingereza. Na kuna watalii wengi tu wanatembelea pyongyang na tour guides huwa wanatumia kingereza?Korea kaskazini - ni marufuku kuongea kiingereza ukigundulika unaongea unanyongwa,
Korea kaskazini - kuvaa Vimini marufuku,
Korea kaskazini - Rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi, mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea,
Korea kaskazini - kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa anyoe style hizo,
Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi,
Korea kaskazini - ndio nchi pekee duniani ambayo rais wake hajawahi kufanya ziara Africa,
Korea kaskazini - kuvaa jinzi marufuku,
Hizi nilizo-quote zote ni propaganda, muda unanibana. Si kila unachokiona kwenye mitandao kuhusu korea kaskazini ni kweli.Korea kaskazini - ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea hukohuko,
umemaliza mkuuNduu Mmawia haya madai uliyoeka umeweka bila kuweka reliable source na nyingi zimeegemea kwenye propaganda.
Mfano angalia hii hoja yako kuhusu raia wa korea kusini na kaskazini jinsi ilivyotoa taarifa potofu.
Sheria za korea kusini zinakataza raia yoyote wa korea kusini kutembelea korea kaskazini pasipo kibali maalumu.
Na sio kwamba korea kaskazini inazuia raia wa korea kusini.
Mfano ni huyu mwanaharakati wa korea kusini Ro Su-hui - Wikipedia
Ukikaidi na ukarudi korea kusini unafikia kwenye kifungo cha miaka miwili mpaka minne. kama huyo mwanaharakati alivyofungwa.
Lakini pia korea kaskazini inakataza raia wake kukimbilia korea kusini kiukweli ukishikwa kitakachokupata wanakijua wenyewe.
Kuna mwanajeshi wa korea kaskazini kuvuka boda kwenda boda kwenda kusini akapigwa risasi sasa unasema raia wa kaskazini wanaruhusiwa kwenda kusini vuka DMZ border uone balaa lake.
Kitu kimoja ambacho watu hawakijui.
Katiba ya korea kusini article namba 3 inasema
"The territory of the Republic of Korea (South Korea) shall consist of the
Korean peninsula and its adjacent islands."
Maana yake ni kwamba serikali ya korea kusini inadai kuwa eneo lote hilo ikiwemo korea kaskazini ni lake.
Hivyo watu wanaoishi kaskazini ni raia wa Republic of Korea isipokuwa wapo chini utawala "dharimu".
Defectors wa korea kaskazini wakienda korea kusini kitu cha kwanza baada ya mahojiano ni lazima wasaini karatasi za kukubali kuwa wao ni raia wa Republic of Korea(ROK Korea Kusini) hiyo watake wasitake na waikane Democratic People Republic of Korea (DPRK Korea kaskazini)
Na ukishasaini hakuna kurudi korea kaskazini na kama unapassport za nchi zingine unapokonywa.
![]()
Unamuona huyu, anaitwa Kwon Chol-nam yupo ubalozi wa US anaomba kurudishwa korea kaskazini, baadhi ya maandishi yanasomeka mimi ni raia wa democratic people Republic of Korea(korea kaskazini).
Kuna baadhi ya waliotoroka kwenda kusini walidanganywa na wachina kuwa watatengeneza pesa nyingi wakienda kusini watapiga pesa nyingi na kisha watarudi kwao.
Koz kwenda korea kusini huwezi pitia kwenye DMZ utakufa. wanapitia china, halafu wanakutana na human traffickers wa kichina wanawapa pesa wanapelekwa korea kusini.
Msikilize huyu mama anaetaka kurudi North korea.
Ameacha mtoto na mme kwao, alivyofika tu korea kusini baada ya kupewa docs akatambua ile ni one way ticket na hataona tena familia, hataki kuona familia yake inaishi korea kusini sababu ya unyanyapaa.
Unajua korea kaskazini kuna Pyongyang University of Foreign Studies moja ya lugha wanayofundishwa ni kiingereza. Na kuna watalii wengi tu wanatembelea pyongyang na tour guides huwa wanatumia kingereza?
Hizi nilizo-quote zote ni propaganda, muda unanibana. Si kila unachokiona kwenye mitandao kuhusu korea kaskazini ni kweli.
Kwako wewe dini ni ipi na ipi ?!Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na Dini yaani hakuna waislamu wala wakristo marufuku!
Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo vitabu vitakatifu vya Dini haviruhusiwi kuingia nchini humo.
Korea kaskazini Rais anaheshimika kama Mungu.
Korea kaskazini, kuvaa vimini marufuku.
Korea kaskazini, rais akiongea ukisinzia unapigwa risasi. Mwaka juzi waziri wa ulinzi alipigwa risasi hadharani kwa kosa la kusinzia kwenye kikao wakati rais akiongea.
Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani iliyowahi kuiteka nyambizi ya Marekani.
Korea kaskazini, adhabu ya kifo ni adhabu ya kawaida mno.
Korea Kaskazini, ni familia moja tu ndio inaongoza nchi.
Korea kaskazini, hakuna vyama vingi.
Korea kaskazini, hakuna uchaguzi wa rais hurithishana.
Korea kaskazini, kuna style 18 tu za kunyoa nywele na kila raia anatakiwa kunyoa style hizo. Style ya kiduku ni style anayotakiwa kunyoa rais tu.
Korea kaskazini, ndo nchi inayoongoza kwa kuwa na mabalozi wachache Duniani.
Korea kaskazini, ndo nchi inayoongoza kwa raia wake kutoroka nchi.
Korea kaskazini, haina ubalozi Tanzania.
Korea kaskazini, raia hawaruhusiwi kuangalia Movies za nje ya nchi.
Korea kaskazini, raia hawaruhusiwi kuangalia taarifa za habari za nje.
Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo rais wake hajawahi kufanya ziara Africa.
Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo hairuhusu mtu kuomba uraia.
Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kutoka nje ya nchi isipokuwa kwa kazi maalum ya kiserikali.
Korea kaskazini, hutumia kalenda ya peke yao yaani kwao kwa sasa ni mwaka 105 huanza kuhesabu mwaka aliozaliwa babu yake rais wa sasa Kim John Un.
.
Korea kaskazini, kuvaa jeans marufuku.
Korea kaskazini, bange ruksa kuvuta, kulima na kuuza.
Korea kaskazini, ni marufuku kuongea kingereza. Ukigundulika unaongea unanyongwa.
Korea kaskazini, ndio nchi inayoongoza kwa mabalozi wake wakistaafu kutorudi nchini humo yaani hutorokea huko huko.
Korea kaskazini, raia wa Korea kusini haruhusiwi kabisa kuingia Korea kaskazini, ila raia wa Korea kaskazini anaruhusiwa kuingia Korea kusini bila viza.
Korea kaskazini, ndo nchi yenye rais mdogo zaidi Duniani.
Korea kaskazini, rafiki yake mkubwa ni China.
Korea kaskazini, hakuna mitandao ya kijamii yaani hakuna Facebook, Twitter, Whatsup, Instagram nk,
Hiyo ndio Korea kaskazini.
View attachment 1431853
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa huyu Dada ake ndo ana ruhusa ya kutumia Twitter?Korea kaskazini, ndo nchi pekee Duniani ambayo raia wake hawaruhusiwi kuwa na Dini yaani hakuna waislamu wala wakristo marufuku!