Recent content by majimotozi

  1. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga: Taarifa kuhusu tochi Mpya (Speed Radar)

    Soma post ya kifarus ndo unajua nilikuwa namaanisha nini.
  2. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mpinga: Taarifa kuhusu tochi Mpya (Speed Radar)

    Sorry hivi tofauti ya sare na uniform ni nini?
  3. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Cybercrimes: Mfanyabiashara kizimbani kwa kuwasifia majambazi waliopora Sitakishari

    Oya umenifanya nicheke peke yangu ka chizi
  4. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Mwanza, wapi pa kutembelea kuapata burudani/starehe?

    Hebu muongeze maana kaona sisi mambulula.
  5. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Lowassa ndani ya Monduli, ajiandikisha BVR

    Yaaani kama ulikuwa kichwani kwangu.
  6. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema, piga marufuku hizi pombe, banana, Kiboko, dadii, huko Arusha

    Umesahau moja inaitwa "ngashtuka"
  7. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Unalijua eneo la siri zaidi duniani Area 51?

    Aaaaaa! mbona tunatiana sasa.
  8. majimotozi

    JamiiForums Tanzania TANESCO wana tatizo gani kwenye LUKU?

    David msaada, pia hilo limenikuta mwezi ulio pita nikaamua kuuchuna ila leo nimenunua umeme wa shs elfu 30 nimepata unit 64 ambazo zimecost shs 19720 harafu time based shs 5560 sasa sielewi hicho kiasi kingine ni kodi ya nini maana sijapewa maelezo yanayo eleweka baada ya kwenda pale ofisi za...
  9. majimotozi

    JamiiForums Tanzania BOT na Kashfa ya kuuzwa kwa sarafu ya mia tano /Tsh 500

    Hilo neno ngashtuka umenikumbusha siha maeneo ya SWA nilikutana na pombe inaitwa jina hilo ukimaliza arbam (lita nne) huamki
  10. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Ajali Iringa: Watu 23 wamefariki dunia na wengine 34 kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi na lori

    Mpaka natoka pale hospital saa Sita usiku mafinga watu 25 walikuwa wamefariki.
  11. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Shirika la ndege la Marekani laomba radhi baada ya mteja wa Kiislam kubaguliwa kwenye ndege

    Nao wamezidi na matukio ya ajabu ajabu
  12. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Gari aendeshapo mwanamke

    Hivi yule anae endesha mabasi ya mikoani (ndenjela) mbona sijawahi ona kafanya hivi vitu na anapakia midume kibao bila wasiwasi na usingizi juu.
  13. majimotozi

    JamiiForums Tanzania Kisa kudate bila kondom kaniacha

    Ile ya mwanzo ina unaunafuu!
  14. majimotozi

    JamiiForums Tanzania PICHA: Rais Kikwete akizindua meli mbili za kikosi cha wanamaji JWTZ

    Eheeeee hiyo Ingekaa vizuri!
Back
Top Bottom