TANESCO wana tatizo gani kwenye LUKU?

TANESCO wana tatizo gani kwenye LUKU?

Osaba acha kuwapotosha wananchi ni lini umelipia Umeme ukaja kuungiwa baada ya miezi mitatu tuambie ni ofisi gani ulilipia na lini.

Mkuu siwapotoshi kabisa nililipia mikocheni kituo chetu cha huduma ni Mbezi tangi bovu na nyumba IPO Kunduchi
 
Ni kweli kabisa viatu virefu hata huku arusha yaan ni shida sana watu wanaiba nyaya ambazo zinafeeed maeneo mbalimbali yanayotuzunguka sasa yaan sijui kila kinachotokea pplz lawama ni TANESCO tuu, hyo si sawa watanzania tuonyane sisi kwa ww kila mmoja akiwa mlinz wa mwenzake haya mambo hayatatokea tena.

Nakingne chakushangaza mm maranying Taarifa za kukatwa kwa umeme huwa tunapata vizur tuu, na maranying shirika limekuwa karibu sana na wananchi katika kuwapatia taarifa ya kile kinachoendelea. Na kama ukiona shirika limechelewa kutoa taarifa bas ujue kuwa hiyo ni emmergency case.

Tanasco pam1 sana
 
Last edited by a moderator:
Osaba acha kuwapotosha wananchi ni lini umelipia Umeme ukaja kuungiwa baada ya miezi mitatu tuambie ni ofisi gani ulilipia na lini.

Mkuu nimelipa toka march hadi sasa sijafungiwa umeme naambiwa nisubiri material, ila kuna jirani zangu 2 wameungiwa, najua utaelewa kwanini wameungiwa na mimi sijaungiwa. Sijataka kujiongeza kwa kuwa siishi kwenye hiyo nyumba kwa sasa.
 
Mm nimelipia Tanesco maeneo ya tgt ilikuwa mwezi wa pili na baada ya 2weeks nikawekewa umeme
 
osaba acha kuwapotosha wananchi ni lini umelipia umeme ukaja kuungiwa baada ya miezi mitatu tuambie ni ofisi gani ulilipia na lini.

aisee mi na kero yangu jana nimenunua umeme wa 150,000 ila nimejaribu kuweka kwenye vimeter vyenu vidogo hivi vyeupe umenigomea... Mpaka saivi yaan ina connect.. I swear kesho nakuja makao makuu na mtanilipa gharama zangu..maana mkipigiwa simu mnajidai kujibu maruwe ruwe!!! Na stakii mniite mpendwa mteja maana hamna huruma nyie
 
Sometyms blemmings zetu zinawadiscourage jamaa kufanya kazi kwa moyo coz we tanzanians haturidhiki mweeee
 
Wewe charty kama kama Umeme umekataa kuingia wasiliana na watu Wa Luku
Watakusaidia maana kulaumu hakusaidii
 
Osaba mm huwa nawasiliana nao marakwamara coz kaz zangu bila umeme sina ujanja, so am a good customer of Tanesco na najua how to deal with them.

Kwan unashida gan na ww kama ntaweza ntakupa support sisi sote ni watanzania kusaidia ni muhim by thy way huwa sionag shida kusaidia mtu no matter namjua ama laa. So your welcome.
 
I should give ma email, then tukawa tunawasiliana kwa msaada 👍

David msaada, pia hilo limenikuta mwezi ulio pita nikaamua kuuchuna ila leo nimenunua umeme wa shs elfu 30 nimepata unit 64 ambazo zimecost shs 19720 harafu time based shs 5560 sasa sielewi hicho kiasi kingine ni kodi ya nini maana sijapewa maelezo yanayo eleweka baada ya kwenda pale ofisi za tanesco
 
majimmoto
Nitakupa jibu lako nitumie number yako ya simu kwa mawasiliano.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom