Recent content by Maishanimagumu

  1. Maishanimagumu

    🩺 Elimu ya Afya Leo: Shinikizo la Chini la Damu (Low Blood Pressure – Hypotension)

    Ikiwa shinikizo lako la damu siyo la juu sana, dawa siyo lazima. Unaweza kushauriwa kuhusu kubadilisha mfumo wa maisha, mfano.. kupunguza uzito, kufanya mazoezi, kuacha matumizi ya pombe/sigara, mambo ya vyakula nk... Ikiwa shinikizo lako la damu ni la juu sana dawa ni lazima. Dawa zinazoweza...
  2. Maishanimagumu

    Msaada kwenye tuta

    1. Homa ya ini (Hepatitis), VVU etc.. kwa sababu umekuwa exposed kwenye bodily fluids/biofluids. 2. Uwezekano upo japo ni mdogo sanaaa (almost negligible). 3. Possibility inaongezeka especially kama una mchubuko/kidonda (port of entry). 4. Inategemeana na mzunguko wake hedhi. Wale wa siku...
  3. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Daaaah, this is too low for you. Majority ya hii makala kaandika mzee wa jambia. Badala ya kutoa hata credit, umeamua uifanye kama vile ya kwako. Sawa unataka kutuonyesha Arsenal ilivyo bora ila hiki ulichokifanya ni plagiarism!! Vitu kama hivi vinafanywa na watu wenye uwezo mdogo wa kufikiria...
  4. Maishanimagumu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Bei ya Havertz na Højlund ni almost the same. Havertz ambaye katika misimu yote aliyocheza Chelsea hajawahi kuvuka goli 10 per season (kwenye ligi) pamoja na kuchezeshwa kama forward. Last season kaanza kwenye mechi 30 kaishia goli 7. Højlund ambaye kaanza mechi 20 ana goli 9. Na bado unapata...
  5. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ni ujinga huu huu ulimfanya Hamis ajiaminishe kwamba wakienda Anfield watampiga Liverpool endapo akicheza mpira wa kupishana nao, mwisho wa siku mkaambulia sare. Ni ujinga huu huu ulimfanya Hamis atambe kwamba wakienda Etihad watampiga Man city afu watangaze ubingwa, kilichotokea almanusura...
  6. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hapo ndo huwa namshangaa huyu jamaa Hamis. Baada ya kuwafunga MLS All stars, akaleta hadi head to head ya hiyo timu(MLS) na timu zingine za Ulaya miaka ya nyuma ila ku justify wao ni bora. Kabla ya mechi umetamba kinoma, baada ya kufungwa unaanza ngonjera na taarab. Ujinga ni kudhani kwamba...
  7. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kushtukiza wapi bhn. Sijui matokeo ya mwisho yatakuwaje ila first half man u wamecontrol mechi. Give credit where it is due. Shida yako ni kwamba hutaki ku acknowledged hatua ambazo Man u imepiga.
  8. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Wazee wa ku overload na positional play. Anyways acha nisubiri mechi iishe😂😂
  9. Maishanimagumu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nashuk Nashukuru sana mkuu
  10. Maishanimagumu

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mkuu Chief-Mkwawa, heshima yako Naomba nisaidie link kwa ajili ya kustream
  11. Maishanimagumu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ipo playstore au?
  12. Maishanimagumu

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mkuu Millennium bahati hii app inaitwaje??
  13. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Siyo kwa ubaya jamani. Ila huu mwandiko no wa computerarsenal🤣🤣🤣 Sema jitahidini mpate ushindi muokoe laki yangu🥲
  14. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kenge nyie, Hayaa nendeni mka press na ku overload ss
  15. Maishanimagumu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu tumekukosea nini🤣🤣🤣
Back
Top Bottom