Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

Wakuu

Jana nimekutana na dem yupo bleed,

Maswali

1. Je naweza kupata risk gani kwa zile damu zake ?

2. Anaweza kupata mimba akiwa kwenye hali ya ku bleed?

3. Vipi kuhusu possibility ya kupata ngoma

4. Je ni baada ya muda gani anaweza kupata mimba baada ya bleed kukata?

Nb. Baada ya kuingiza machine, na kupiga tako kadhaa , ndio tukaona damu..

Means , bleeding ilianza nikiwa kwenye show before alikuwa clean .

Ikabidi ni stop show

Sio kwamba nili plan kuichapa huku nikijua ana bleed
"Baada ya kuingiza machine, na kupiga tako kadhaa , ndio tukaona damu"
 
Wakuu

Jana nimekutana na dem yupo bleed,

Maswali

1. Je naweza kupata risk gani kwa zile damu zake ?

2. Anaweza kupata mimba akiwa kwenye hali ya ku bleed?

3. Vipi kuhusu possibility ya kupata ngoma

4. Je ni baada ya muda gani anaweza kupata mimba baada ya bleed kukata?

Nb. Baada ya kuingiza machine, na kupiga tako kadhaa , ndio tukaona damu..

Means , bleeding ilianza nikiwa kwenye show before alikuwa clean .

Ikabidi ni stop show

Sio kwamba nili plan kuichapa huku nikijua ana bleed
1. Homa ya ini (Hepatitis), VVU etc.. kwa sababu umekuwa exposed kwenye bodily fluids/biofluids.

2. Uwezekano upo japo ni mdogo sanaaa (almost negligible).

3. Possibility inaongezeka especially kama una mchubuko/kidonda (port of entry).

4. Inategemeana na mzunguko wake hedhi. Wale wa siku 21, siku za hatari zinawahi kufika ukilinganisha na wale ambao mizunguko yao huchukua siku 28-35

NB: Ukitoa suala la hygiene, kama afya zenu zipo vizuri na hamna kinyaa , hakuna shida yoyote kufanya sex wakati wa period. Infact inamsaidia hata mwanamke interms of mood (mood stabilizer) kwa sababu ya vichocheo ambavyo mwili huvitoa wakati wa tendo.
 
Mkuu asante kwa majibu mazuri. Inaonekana ndio field yako
 
Back
Top Bottom