Wazee hapa hamna timu tuacheni masihara, mpira Kila mtu anauona, Kuna timu unaziona zinafungwa lakini unaona kabisa wana Ari ya kucheza na kutafuta goli, Yani UTD imekuwa timu mbovu namna hii?, timu hata Ipswich town wanaweza kutamani kucheza nazo, Kwa mpira huu natamni sana tusishiriki hata...