Recent content by maiko salumu

  1. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Joel Bendera, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, afariki dunia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mungu amsamehe zambi zake japo si kirahisi kusamehewa huku umekufa
  2. maiko salumu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Kuna jamaa alishatangulia mbele za haki jina nimemsahau alikua anaimba dance mtindo wa nywele zake nyeupe wimbo ndo naukumbuka jina lake unaitwa jela mnaweza mkanisaidia
  3. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Tecno W5 Lite

    Sh.ngapi
  4. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Hongera Steve Nyerere kwa kujitambua

    Lakini hakuwepo kwenye maandano au ndo unafiki wake
  5. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Kitwanga kutoa shilingi kama Kolomije haijatengewa Fedha za Maji

    Kolomije imekua maarufu ghafla bin vuu
  6. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Hoja ya Mbowe waliyoidharau wabunge wa CCM imeanza kupata majibu

    Nahamu ya kuchangi maada lakini sina mchango
  7. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Kikosi kilichomuua Osama chajiadaa kumwondoa Dikteta Kim Jong

    Mh! Hii sasa hatari
  8. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Kutoweshwa kwa Ben Saanane kumehusishwa na Idara ya Usalama wa Taifa, Bunge lichunguze jambo hili

    Tiss kwa sasa ni janga là taifa kama siyo kiongozi was serikali
  9. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Maneno ya dhahabu kutoka kwa Husein Bashe

    Bashe anajua kusema ukweli
  10. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Nape Amlilia Roma Mkatoliki, ‘Ooooooh No!’

    Free @roma2030
  11. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wajiandae kutetea majimbo yao kupitia upinzani mwaka 2020

    Umemsahau Dk kafumu huyu hapitishwi hata kwa kurogana
  12. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye kuongea na wana Mtama Jumamosi tarehe 8-4-2017

    Arudi tu hakuna namna
  13. maiko salumu

    JamiiForums Tanzania Zoezi la kuondoa sport light kwenye magari

    Wakuu naileta kwenu hivi zoezi la uondoaji sport light kwenye magari limeishia wapi au ni kwa ajili ya dar tu huku mikoani halikuwepo naomba nieleweshwe kidogo hapo
Back
Top Bottom