Hussein Bashe: Umasikini ndio hatari kwa usalama wa nchi, sio nyimbo za wasanii

barafu

JF-Expert Member
Apr 28, 2013
6,739
32,866
Anaandika Hussein Bashe

Who is behind all this?
Ni genge ambalo limejipa mamlaka ya kupandikiza woga na chuki miongoni mwa jamii na kuharibu Taswira ya CCM.
Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Misuse ya vyombo vya Ulinzi na usalama, Tunawajibu wa kulinda Taifa letu.

Tunawajibu wa kupigania Values zilizopiganiwa na waasisi wa Taifa letu kama Mzee Karume na Mwl Nyerere,
Tunawajibu wa kukataa ukandamizaji
Tukikaa kimya kwa kufikiri kuwa hayanihusu mimi yanamhusu yule yatakapokufika wewe hatakuepo mtu wa kukutetea na halitakuepo Taifa la Tanzania.

Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi.
Kama mtu Ana makosa ufuatwe utaratibu wa kisheria kumkamata na sio utekaji.
Tunakabiliwa na vita kubwa ya kupambana na Umasikini na kujenga Taifa huru la kiuchumi .

"Umasikini ni hatari kwa usalama wa taifa sio nyimbo".
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
 
Bungeni mnashindwa kuwa kitu kimoja mnalalama mitandaoni.

Bungeni wanawagawa na nyie hili hamlioni!!

Wewe 2020 unaweza ukarudi kama utajaliwa uzima na utagombea lakini wengi wa kutoka chama chako wataangukia pua.

Tunawasubiri kwa hamu maana wao wameweka mbele uchama kuliko wapiga kura wao na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Imani kidogo tuliyonayo imebaki kwenye Mhimili wa Mahakamu tu.

Nawashauri maneno ya Lema jana Bungeni ndio yawe dira yenu na ikiwezekana myakariri kama sala zilizoko katika vitabu vyetu vya imani.

Mnaweza mkampuuza Lema kama Lema lakini siyo maneno yake.

Iko siku mtayakumbuka maneno yale mithili ya Yuda Eskariot alivyoyakumbuka maneno ya Yesu Kriso baada ya Jogoo kuwika.
 
Anaandika Hussein Bashe

Who is behind all this?
Ni genge ambalo limejipa mamlaka ya kupandikiza woga na chuki miongoni mwa jamii na kuharibu Taswira ya CCM.
Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Misuse ya vyombo vya Ulinzi na usalama, Tunawajibu wa kulinda Taifa letu.

Tunawajibu wa kupigania Values zilizopiganiwa na waasisi wa Taifa letu kama Mzee Karume na Mwl Nyerere,
Tunawajibu wa kukataa ukandamizaji
Tukikaa kimya kwa kufikiri kuwa hayanihusu mimi yanamhusu yule yatakapokufika wewe hatakuepo mtu wa kukutetea na halitakuepo Taifa la Tanzania.

Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi.
Kama mtu Ana makosa ufuatwe utaratibu wa kisheria kumkamata na sio utekaji.
Tunakabiliwa na vita kubwa ya kupambana na Umasikini na kujenga Taifa huru la kiuchumi .

"Umasikini ni hatari kwa usalama wa taifa sio nyimbo".
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
Kwani kakamatwa Na Polish au Ndo hisia zako tuu.
 
Shida ya serikali hii usomi wameuweka mchagoni wanatumia matumbo kuendesha mambo.... wengi hawajui kuwa machafuko ktk nchi huletwa na watu ambao hawana chochote cha kupoteza.... UMASKINI uliokithiri wa watu huwafanya heri wachague kifo hapo ndipo balaa huwa kubwa...
 
Anaandika Hussein Bashe

Who is behind all this?
Ni genge ambalo limejipa mamlaka ya kupandikiza woga na chuki miongoni mwa jamii na kuharibu Taswira ya CCM.
Tunawajibu wa kukataa woga ,Tunawajibu wa kutoruhusu Misuse ya vyombo vya Ulinzi na usalama, Tunawajibu wa kulinda Taifa letu.

Tunawajibu wa kupigania Values zilizopiganiwa na waasisi wa Taifa letu kama Mzee Karume na Mwl Nyerere,
Tunawajibu wa kukataa ukandamizaji
Tukikaa kimya kwa kufikiri kuwa hayanihusu mimi yanamhusu yule yatakapokufika wewe hatakuepo mtu wa kukutetea na halitakuepo Taifa la Tanzania.

Sote tusimame tuseme hapana kwa mfumo huu unaoanza kuota mizizi.
Kama mtu Ana makosa ufuatwe utaratibu wa kisheria kumkamata na sio utekaji.
Tunakabiliwa na vita kubwa ya kupambana na Umasikini na kujenga Taifa huru la kiuchumi .

"Umasikini ni hatari kwa usalama wa taifa sio nyimbo".
[HASHTAG]#FreeRoma[/HASHTAG]
Raia waoga ni mtaji kwa watawala dhalimu
 
Nchi ya matukio ila hili la roma mkatoliki liwefundisho kwa wasanii ambao wanakuaga mstari wa mbele sana kujipendekeza ccm kwa lengo la kupata ubunge au kupata fedha au tu kujipendekeza kwa viongozi mfano kuna wasanii walizunguka nchi nzima na wakazulumiwa usitegemee kuwa na rafiki mwanasiasa ukathani utatoka kimaisha unachokitaka na yeye anakitaka ukitaka kuwa mwanasiasa lazma uwe mchawi mnafki roho mbaya hata yakuua muongo izo sifa lazma uwenazo ni sawa kuwa na urafiki na polisi
 
Bungeni mnashindwa kuwa kitu kimoja mnalalama mitandaoni.

Bungeni wanawagawa na nyie hili hamlioni!!

Wewe 2020 unaweza ukaridi kama utajaliwa uzima na utagombea lakini wengi wa kutoka chama chako wataangukia pua.

Tunawasubiri kwa hamu maana wao wameweka mbele uchama kuliko wapiga kura wao na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Imani kidogo tuliyonayo imebaki kwenye Mhimili wa Mahakamu tu.

Nawashauri maneno ya Lema jana Bungeni ndio yawe dira yenu na ikiwezekana myakariri kama sala zilizoko katika vitabu vyetu vya imani.

Mnaweza mkampuuza Lema kama Lema lakini siyo maneno yake.
Umesema vyema mkuu.....!

Ila Bashe wa sasa anajitambua inawezekana katika zile kura 124 za Masha au 126 za Wenje,Bashe yumo kwani ukiangalia Upinzani kwa ujumla wao hawafiki hiyo idadi.

Bashe wa sasa amekuwa baada ya kuonja kashikashi ya awamu ya tano.......

Mungu ibariki Tz na watie Moyo wa ujasiri wasirudi nyuma......
 
Bungeni mnashindwa kuwa kitu kimoja mnalalama mitandaoni.

Bungeni wanawagawa na nyie hili hamlioni!!

Wewe 2020 unaweza ukarudi kama utajaliwa uzima na utagombea lakini wengi wa kutoka chama chako wataangukia pua.

Tunawasubiri kwa hamu maana wao wameweka mbele uchama kuliko wapiga kura wao na maslahi ya Taifa kwa ujumla.

Imani kidogo tuliyonayo imebaki kwenye Mhimili wa Mahakamu tu.

Nawashauri maneno ya Lema jana Bungeni ndio yawe dira yenu na ikiwezekana myakariri kama sala zilizoko katika vitabu vyetu vya imani.

Mnaweza mkampuuza Lema kama Lema lakini siyo maneno yake.
Point kubwa sana poti
 
Back
Top Bottom