Kitwanga kutoa shilingi kama Kolomije haijatengewa Fedha za Maji

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
94,143
164,567
Amesema atatoa shilingi endapo miradi ya maji ktk kijiji cha Kolomije haitatengewa fedha.Amedai zaidi kuwa kina mama huko Koromije wanateseka sana pamoja na umaarufu wote wa kijiji hicho na baadhi ya wanakijiji wake.

Source: 360 Clouds Tv kutoka magazetini
 
Hakuna kijiji Tanzania kinachoitwa Kolomije, huu ni upotoshaji wa hali ya juu - by wiraza ya makanusho kwa interest maalumu
 
  • Thanks
Reactions: cai
Bashite anajenga msikiti Dar kumbe kwao hata maji ni shida? hatari sana.

Sasa huko kijijini ahangaike nako kwa nn wakati wazazi wake akishawaamishia Igoma mwanza mjini.

Hukusikia kuwa hata kwenye ile familia aliyokuwa anakaa wakati anasema Nyanza msingi na Pamba secondary siku hz hana muda nao...hata wakimpigia simu hapokei.

Hv unamjua bashite au huwa unamsikia tu.??
 
Ndiyo tabia za watu wa kanda ya ziwa hawapendi kutengeneza kwao wanataka sifa kutoka mbali.
 
Back
Top Bottom