Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,917
Wabunge hawa siuji kama watapitishwa na chamo cha kugombea ubunge mwaka wa 2020.
Msukumu
Hoja ya kinyago sidhani kama itamuacha salama wakati ukifika.
Bashe
Msimamo wake dhidi ya serikali ya chama chake na hata kauli zake sijui kama zinawafurahisha wakubwa ndani ya chama chake.
Kumbukeni baadhi ya tweet zake.
Nape
Huyu nae anakoelekea sidhani kama anawafurahisha wenye mamlaka ingawa ameamua kusimamia ukweli ila naamini kuna watu huenda anawaudhi na akiendelea hivi sidhani kama jina lake nae litapitishwa.
Hata hivyo,habari njema kwao ni kuwa iwapo hayo yatatokea na wao wakaomba kujiunga na upinzani na kukubaliwa na kupewa fursa ya kugombea tena kupitia upinzani,nina hakika wote watashinda kwa kishindo na kurudi Bungeni.
Vile vile kwa hali ya uchumi ilivyo sasa na hali ya maisha ilivyo kwa ujumla, 2020 majimbo mengi yaliyoko maeneo ya mijini kwenye miji na majiji na hata baadhi ya maeneo ya vijijini, yatachukuliwa na upinzani na yaliyoko upinzani yatabaki upinzani.