Recent content by Maiki

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niulize swali lolote kuhusu matatizo ya kisaikolojia (psychology problems)

    Tofauti za uongeaji wa watu huletwa na nini? Mfano wengine ni waongeaji sana,wengine wastani na wengine ni wakimya kabisa.
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kweli nitapata wa kumuoa?

    Duu,safi sana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

    Hivi unaamini nini katika suala la kusema fulani ana "nyota kali". Je,mafanikio ya mtu ni bidii zake mwenyewe au kudra tu za Mungu? Na kama muumba anajua yote si inamaanisha kuwa fate ya mtu tayari iko pre-destined
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

    Ni kweli si kila mzazi ni mlezi,lakini mara nyingi unapoamini na kushikia bango madhara yake huwa makubwa na ki uhalisia hamna kitu
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Neno lolote toka kwa mpenzio ambalo liliutikisa moyo wako

    Mwanaume gani huna hata elfu ishirini,kipindi hicho niko juu ya mawe chuo.
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

    Uchawi ni mambo ya hisia tu,imani za kufikirika..uhalisia unao-exist kwenye mawazo tu,hakuna chochote. Unaposema ni mchawi,ulijuaje na nini kinachokusababisha uamini hivyo? Muheshimu huyo baba mkwe wako achana na imani za kufikirika...kwanza amemlea mumeo mpaka hapo alipofikia,muheshimu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Diamond anafanya biashara gani?

  8. M

    JamiiForums Tanzania Agnes Mkandya, DED Gairo ni nani?

    chuo kule LZ? ndio maisha,kama mkwere alivosema ni mzunguko.
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pogba ndani ya nyumba,ila kwa bei aliyonunuliwa nayo he better perform.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Azam TV mnakatisha tamaa mmejisahau sana

    Kweli?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mashine ya MRI ya Muhimbili yaharibika tena, CT-Scan haijatengamaa!

    U mbantu au hapana?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya Sinoni-Arusha: Mkutano wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Edward Lowassa - Okt 8, 2015

    Waliokuwa wanasema hana chochote ni mnunuaji tu wa watu,anazidi kuwa prove wrong.Hii nyomi na mwamko hapa Arusha,duh sipati picha.
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mimi napenda sura na umbo tu, tabia tutarekebishana

    Unaweza kuwa na mwanamke mzuri wa sura na shepu,ila hata akiwa utupu usitamani hata kulala nae,kila unapozikumbuka tabia zake chafu hamu inakuisha.Ila tabia huwa inatengeneza mvuto wa kudumu sana.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake: Kinachowapa raha ni ukubwa wa dushelele au ufundi wa mwenye dushe?

    mita moja ni cm 100,ni zaidi ya rula mbili kubwa,umekuwa punda au tembo
  15. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Duu,akitoka jumatatu,heshima kwa ma-trafic itaongezeka mara 10.
Back
Top Bottom