Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Ukiona mpaka umegundua, maana yake na wewe ni wale wale...
 
Unawezaje kuishi na mume pale unapogundua kumbe baba yake mzazi ni mchawi anayedhuru watu hakika, nawe ulifichwa kila kitu.

Naomba msaada kwa hili
Hongera zako kwa kugundua hilo......Muombe sana Mwenyezi Mungu na usiogope uchawi ww muogope na umtegemee Muumba. Jua ya kwamba uchawi haufanyi kazi mpaka Mungu aridhie ndio utarogeka....Nakupa pole sana maana siku si nyingi mumeo atarithishwa izo isue..

Usiseme kitu kwake maana mchawi akijua kuwa umemjua ni vita kubwa sana na hatar kwako..
 
Baba mkwe wako ni mchawi ila wewe ni mshirikina.
Naamini unaelewa tofauti ya iliyopo kati ya uchawi na ushirikina.
Hakuna neno ni heri kwangu maana mimi na wewe mitazamo yetu haitakiwi kuwa sawa, na kama faida ya kuuliza kuomba msaada ni kejeli nayo ni sawa, atleast nimejieleza ukweli. Kwahiyo ukweli wangu kuwa ushirikina kwako haina tatizo.
 
Contagious,
Je mumeo kama mumeo umesha wahi kuona uhusika wake kwa namna yoyote kwenye haya maswala? umeshawahi kumwuliza kuhusu haya na alikujibu nini?
Binafsi naona kama mumeo yeye pia wale ni wazazi wake tu hatuchagui tuzaliwe na nani.. kama hahusiki au hajui huna sababu ya kuumiza roho yako. Kaa mbali na hao wachawi basi muombe mungu.
Lakini kama na mumeo na anajishirikisha hapo ni jambo lingine.
Kwa mtazamo wangu nadhani hajishirikishi zaidi ya hapo siwezi kujua maana haya mambo si matangazo, nilimuuliza baada ya kuambiwa akanijibu achana nao, hayo ni yao, nikamuuliza vipi ikatokea kutaka kufanya mabaya kwa watoto akasema hawezi, achana nao, lkn usemavyo ni sawa hatuna uwezo wa kuchagua wazazi, hata kuwakana ni dhambi na laana.
 
Sio waganga pekee hata wachungaji wa kilokole ni namba moja kwa kuvuruga familia za watu..
Ninasali Lutheran Church siendi kanisa lolote la kilokole maana mwenyewe siaamini kwenye miujiza ya siku hizi.
 
Angekuwa mtoto wa Bakharesa ningemwendea kwa mganga, mtoto wa kapuku naenda kwa mganga kufanya nini?
hapa umeenda mbali my lovely friend. hata kama wamekuuzi usijibu hivyo jst cool down na uachane nao. wakati mwingine hasira inatuharibia. cause it seems kuwa ingekuwa hivi ungeenda kitu ambacho sio ni hasira tu zimekufanya ujibu hivyo.

Mungu akutunze
 
Uchawi ni mambo ya hisia tu,imani za kufikirika..uhalisia unao-exist kwenye mawazo tu,hakuna chochote.

Unaposema ni mchawi,ulijuaje na nini kinachokusababisha uamini hivyo?

Muheshimu huyo baba mkwe wako achana na imani za kufikirika...kwanza amemlea mumeo mpaka hapo alipofikia,muheshimu.
 
Niliapa mpnz wangu, na bado ninaomba Mungu anisaidie maana mimi ni mwanadamu mnyonge, ninaomba nisije ukaribia mlango wa mganga, pia simhukumu anayekwenda maana anasababu zake, lkn ninaomba sana Mungu anishikilie anipiganie, dhambi nilizonazo nitendazo zinatosha, naomba nisijaribu kuingia kwa witchdoctor.
 
Si kila mzazi ni mlezi, tambua hilo!
 
Niliapa mpnz wangu, na bado ninaomba Mungu anisaidie maana mimi ni mwanadamu mnyonge, ninaomba nisije ukaribia mlango wa mganga, pia simhukumu anayekwenda maana anasababu zake, lkn ninaomba sana Mungu anishikilie anipiganie, dhambi nilizonazo nitendazo zinatosha, naomba nisijaribu kuingia kwa witchdoctor.
na Mungu akuongoze maana peke yako huwezi
 
Back
Top Bottom