Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Msaada: Nimegundua baba mkwe ni mchawi

Amini utakavyo, lakini bado hujanipa msaada wa nini cha kufanya, hilo ndilo lilikuwa swali langu. Ingekuwa nimeambiwa na mganga japo ningeishia kwa mganga nisingeuliza hapa, ya nini wakati tayari niko kwa mtaalamu?
Maelezo yako yanatia mashaka.Haujajibu swali LA msingi,UMEJUAJE KAMA BABA MKWE NI MCHAWI?Kama hauko tayari kujibu swali hili basi unachofanya ni fitina ili upate jinsi ya kuvuruga Ndoa yako.
 
Ni kweli si kila mzazi ni mlezi,lakini mara nyingi unapoamini na kushikia bango madhara yake huwa makubwa na ki uhalisia hamna kitu
 
Mbona story yako haina mashiko bibie??

Hebu tulie uelezee tatizo lako vzr ili upate msaada.
 
Maelezo yako yanatia mashaka.Haujajibu swali LA msingi,UMEJUAJE KAMA BABA MKWE NI MCHAWI?Kama hauko tayari kujibu swali hili basi unachofanya ni fitina ili upate jinsi ya kuvuruga Ndoa yako.
Ndoa huwa haivurugwi na mtu, huwa wenye ndoa ndio wanaovuruga wenyewe, kama ungesoma vyema toka mwanzo ungepata jibu la swali lako kwamba ilikuwaje, use mvivu mno.
 
Ni kweli si kila mzazi ni mlezi,lakini mara nyingi unapoamini na kushikia bango madhara yake huwa makubwa na ki uhalisia hamna kitu
Si kila siku yasemwayo ni maneno matupu, ukweli siku zote hujitenga na uongo.
 
Na kweli maana jiulize utajuaje huyu mtu ni mchawi?
Yaani mrembo una akili ya machale,huyo atakuwa ni mshirikina tu,kaenda kwa Karumanzira kumloga mmewe,akaambiwa ni kazi nzito sana na tena sana inatakiwa gharama ilipwe kwa papuchi,maana baba wa mme wake ni mchawi wa hatari sana anaweza kumgeuzia kibao.
 
Nyie ndio mnaharibu familia za watu;
huo uchawi ulikuta ameubeba kichwani?
ukute mchawi ni wewe mwenyewe.
 
Nimeelezwa na wenyewe baada ya baadhi ya mambo kutokea, series ya mambo kwa hakika, nikisema wenyewe namaanisha baadhi ya memba wa familia, ilitokea jambo katika kulitatua kwao wakataka kujimlisha mimi, katika kushangaa ndio nikatolewa upofu.
Sa unaficha nini? Tiririka tu mama
 
Kaambiwa na Karumanzira.
Unafikiri kwa kunijibia utabadilisha ukweli ama utafanya mkwe wangu asiwe mchawi? Uchawi upo na utaendelea kuwepo, na wewe kunikebehi haitakaa ibadilishe ukweli wenyewe.
 
Back
Top Bottom