Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,658
Tuwekeni mbali ukabila kwani kuna wale tulimsapoti Dr. Slaa na Lowassa japo si wasukuma.duh! kigezo cha kuwa msukuma kinamtosha
Tuwekeni mbali ukabila kwani kuna wale tulimsapoti Dr. Slaa na Lowassa japo si wasukuma.duh! kigezo cha kuwa msukuma kinamtosha
Teh teh teh teh!! Haya bwanaNilidhani ni chuma kama vya awamu iliyopita!
Kama ni mchapakazi hodari ni vizuri.
Mimi ndiye niliyemteua, na asipotekeleza majukumu yake nitampasua jipu, ninaposema kumpasua jipu nitampasua kwelikweli

Mkuu sikua mbali na ww nilijua kaanika kila kitu hapa....kazi ibaki kumeza tu.Nlipoona title ya thread nikajua ameelezwa, nikaifungua chap... ulivoomba data zake nikaishiwa na maneno. wanaomfahamu wanakuja
Mwambieni apige zoeziNdiyo huyu ? AGNES MKANDYA.View attachment 370360 View attachment 370361
Mkome mbona walipokuwa wachaga mlikuwa hamsemi. Magufuli bhatolage bhenabha bhale Na kishimbe,acha kabisa ndg. sasa iv halmashauri nyingi wataanza kufanya vikao kwa kilugha. kuna wilaya nyingine wamekutana DC na DED wote wa kulekule
Na bado akina masawe wamekula mno hii nchi sasa zamu ya waliooitwa tangu uhuru washamba ha haaas
Ha.ha haaa haa hata inchi itachukuliwa mdogo mdogo Zitto akomae na waha wenzieAkina Masawe hatuli nchi kwakuteuliwa, tunakula nchi kwa kutumia akili za kuzaliwa.... Sasahivi tupo ubia na ndugu zetu Wakinga tunataka inunua k, koo na sinza... Only Mrema is looking for uteuzi
Msukuma .Nia na madhumuni ya huu uzi ni nini haswa? Au ndo promo
achana nao hao wanataka kila sehemu wakae wao huko tra wamejaa hadi wanaongea kilugha ofisini,kinachotakiwa vigezo vimetimia basi inatoshaTuwekeni mbali ukabila kwani kuna wale tulimsapoti Dr. Slaa na Lowassa japo si wasukuma.