Generator ndogo inauzwa DSM
Aina: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology.
Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya.
Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta.
Matumizi: Ina uwezo wa kuwasha fridge, pass, blender na taa bila shida.
Mafuta: Petrol na tank lina uwezo...