Nauza generator- apollo, 5.5 hp

Mahoma

Member
Jan 27, 2012
18
2
Generator ndogo inauzwa DSM

Aina
: Apollo, AP3900 DXE, HP 5.5, Japan Technology.

Hali yake: Jino moja tu inawaka. Ni kama mpya.

Uwashaji: Inatumia Betri (Imekufa) na kamba ya kuvuta.

Matumizi: Ina uwezo wa kuwasha fridge, pass, blender na taa bila shida.

Mafuta: Petrol na tank lina uwezo lita 15.

Bei: Tshs 630,000.00. Dalali hatakiwi

kwa wahitaji, mawasiliano 0713 119 116


View attachment 63991
 
Inatumia kiasi gani cha mafuta kwa saa?Mlio wake mkubwa au mdogo?
 
Back
Top Bottom