Nauza Kiwanja Changu Makongo Juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauza Kiwanja Changu Makongo Juu

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Mahoma, Aug 18, 2012.

 1. Mahoma

  Mahoma Member

  #1
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauza kiwanja Makongo
  Wapi? Makongop Juu, CCM unakata kulia kilomita 4 tu kutoka Mlimani City
  Ukubwa? mita 45 kwa 44
  Bei? milioni 46
  Sifa zingine?
  . Umeme upo
  . Barabara ipo mpaka kiwanjani
  . Unaona bahari na huhitaji kuchimba ili ujenge
  .Hakuna dalali
  Mawasiliano? 0713119116

  Mazungumzo yapo kwaaliye serious
   
 2. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,080
  Likes Received: 7,306
  Trophy Points: 280
  Kimepimwa (Surveyed)???
   
 3. Mahoma

  Mahoma Member

  #3
  Aug 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakijapimwa ila kimetambuliwa na Wizara ya Ardhi katika mpango wa kuboresha Makongo. Karibu
   
Loading...