Naweza pata nyumba kwa mil 15?

Logik

Member
Jan 17, 2012
32
4
Habari zenu.

Jamani naomba kujuzwa kama nawezapata nyumba ya kununua kwa hicho kiasi, iwe imeisha au haijaisha.

asanteni
 
mkuu . kuna gofu lina vyumba sita na lina umeme lipo sehemu nzuri tu . mwananyamala kisiwani gari inafika mpaka hapo kama unamaanisha njoo nikupeleke kwa mwenyewe . mkamalize biashara 0657145555
 
mkuu,kweli uko serious au unatania????
mil. 15 ni kiwanja sio nyumba.kwa hapa dar wakikusikia watakwambia ipo nyumba ya hivo halafu wanakuibia visent vyako hivyo.
sasa nakuomba uwe smart kidogo ktk search yako,jiji hili.

ni pm nikuunganishe na jamaa ana kiwanja chenye chumba kimoja kinyerezi.anauza mil 12.
 
mkuu kama uko serious, nyumba ipo imekamilika iko kwenye eneo la ukubwa wa 20 mita kwa 15 maeneo ya tegeta nyumba haina utata wala mgogoro wala utapeli piga 0768061188
 
Yap unaweza pata ambayo hipo kwenye linta bado kupaua na finishing nyingine...size ya kiwanja 25m kwa 25m......Ni PM kwa maelezo.
 
Ipo moja makongo mwisho kwa hiyo ila ina uwanja mdogo mpigie huyu jamaa George 0715957018
 
25 bei ya mwisho nyumba mpya ni kuingia tu,pugu barabaran 0716 390 337
 
Kama upo serious na hujapata nicheki kwa namba 0713-632526 nnayo nyumba ipo Kigogo, wilaya ya Kindondoni-Dar Es salaam.
 
Habari zenu.

Jamani naomba kujuzwa kama nawezapata nyumba ya kununua kwa hicho kiasi, iwe imeisha au haijaisha.

asanteni

Mimi mdogo wangu anuza Nyumba yake kiasi hicho hicho na nyumba imekwisha kabisa labda kama una mahitaji mengine
Nyumba hiyo ipo KINYEREZI
Kwa maelezo zaidi kwa nini anauza muulize mwenyewe No.0652 131653, anaitwa Spora
ASANTE SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom