Natafuta Milunda na Mbao Zilizotumika

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Waungwana, nashida na Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu.

Mwenye details tafadhali tufahamishane.
 
Waungwana, nashida na
Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet
au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu.

Mwenye details tafadhali tufahamishane.

njoo ununue mirunda 3000.@600 usafiri wa gar toka hapa hd dsm kama upo dar ni 1.2mil, upo hapo
 
Nataka mirunda 800 tuu. Nipo Tegeta. Au kama kuna mtu anajua wapi maweza nunua marine sheet cheaper
 
Waungwana, nashida na Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu.Mwenye details tafadhali tufahamishane.

Mkuu wenyewe huita KITANDA..........na ni ghali
 
Umeshapata hiyo mirunda na marine? Mimi ninayo 200 na marine 50 ,12'' vyote vipo makongo mwisho

Kama bado unahitaji nipigie 0754 480 513


Waungwana, nashida na Milunda na Mbao au kama kuna mtu anajua wapi naweza kupata Proxy Sheet au Marine sheet kwa ajili ya kumwagia jamvi la juu la kajumba kangu.

Mwenye details tafadhali tufahamishane.
 
Back
Top Bottom