Recent content by mahmoud abbas

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kutoka na usaha kwenye uume

    kaka kimbia hospital kwa matibabu yatakuwa magonjwa ya zinaa hayo.....faster wahi hospital
  2. M

    JamiiForums Tanzania Moyo Na Mfumo Wa Mishipa Ya Damu Mwilini

    poa kaka na asante kwa kunielekeza jinsi ya kumshitaki kwa moderator
  3. M

    JamiiForums Tanzania 'Idi Amin Hakuwa Muuaji, Mla Nyama za Watu' - Rais wa Venezuela

    iweke iyo link mzazi ili wapate funga midomo yao ya kufikiri na kusema idd amin ni mkatili
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa Migo migo

    tuangalien na ukimwi jamaanii....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ma star wa kibongo picha zao bonyeza jina lolote lile itatoka picha yake

    big up broda....
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sawa ni mrembo ila utakuwa tayari kuwa nae?

    oya ni mwanamke uyo we cheki fresh kwenye ayo maeneo ya crater apo chin
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ona wenzetu waliko..!!

    kweli wapo mbali na ninafikiri bado wabongo tuko ndani ya shimo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kaka zetu kuvaa hivi ndo mnamaanisha nini?

    swaga wapi wewe au nawe ndo walewale ila angalien vijana uingereza wanatamaniwa sana vijana kama hao
  9. M

    JamiiForums Tanzania Moyo Na Mfumo Wa Mishipa Ya Damu Mwilini

    kaka umetisha nlikuwa sijui iyo kitu
  10. M

    JamiiForums Tanzania over bleeding after sex

    pyeeeeee!!!kijana naona leo umeingia chooo cha wazee kama mambo huyajui kaa kimnya na uhakika wewe biology una F+
  11. M

    JamiiForums Tanzania what causes temperature changes and variation?

    aah..kijana kwa upewo wangu joto tofautiana toka maeneo ya poles nayale mengine kwasababu kama vifuatazo 1.season and angle inclination of earth 2.oceans currenc 3.clouds cover 4.atmospheric scater and absortion apo ndo upeo wangu umeishia ila nenda kasome zile factor affect insolation katika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Scholarships at jacobs university bremen-germany.

    dah..bro nimecheki kupitia izo blog zao ila naona kichina kaka inshort fomu zao kupitia online sijaziona so utanisaidiaje kijana wako kwani 2nataka 2kapige machuo pande izo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Shule yenye darasa la re-sitters kwa ajili ya form four

    kijana nenda hapo jitegemee kapige skul kwan now days wanayo mabweni kwa wanaorudia mitihani ila kaza buti broda...
  14. M

    JamiiForums Tanzania New ACSEE Syllabus

    naam kijana ntakusaidia kupata izo syllabus na naweza nkaku2mia kupitia hapahapa jamii forum ila kijana unabidi ukaze uzi ile mbaya kwani nazijua tabu ya izo kombi kwan on my side nlisoma pcm..
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada shule ya CBG

    ni kweli kombi isiyoitaji ucngizi na pia kuna shule kama usagara pia iyo kombi ipo
Back
Top Bottom