Msaada shule ya CBG | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada shule ya CBG

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Janja PORI, Feb 18, 2012.

 1. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  wadau na dogo amefaulu comb CBG naombeni ushauri shule zip za serikali nzuri na je private
   
 2. Triple G

  Triple G JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 45
  iko poa kwani mimi nimesoma hiyon nilichaguliwa kigonsera songea nikahamia Njos sasa hivi nipo udsm mwaka wa mwisho,huyo kwa udsm degree yeyote anaichukua kwenye college ya natural and applied sciences,,,shule za nzuri gvt ni njos,kibaha,na zingine wataongezea wadau kwni yeye alijaza shule gani na amepata daraja gani ili tuchambue kidogo.
   
 3. La Cosa Mia

  La Cosa Mia JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mimi nimemaliza kitambo kidogo....sisi tulikuwa tunachagua kombi na shule kabla ya mtihani sasa hivi sijui kuna utaratibu gani na kipindi chetu kibaha haikuwa na cbg naona kuna mdau hapo kai_suggest...mimi nilisoma Tosamaganga kulikuwa hakuna walimu ila kulikuwa kuna mazingira mazuri ya kujisomea...nilipata division one kwa juhudi binafsi...nakumbka zilikuwa divison one tano mwaka huo baada ya one za cbg kuadimika kwa miaka kadhaa na nadhani ndio zilikuwa za mwisho...nikaenda wildlife udsm soon nikapata skolashipu kwa watu...niko ghaibuni napiga udaktari......mwambie dogo hiyo kombi hamna kulala.......pia kuna tambaza nayo ina hiyo kombi kama mambo hayajabadilika
   
 4. m

  mahmoud abbas Member

  #4
  Feb 20, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni kweli kombi isiyoitaji ucngizi na pia kuna shule kama usagara pia iyo kombi ipo
   
 5. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  enzi zetu tulikuwa tunaita combination of beautiful girls, a-level kwa tz ni tuit kwenda mbele haijalishi umesoma govt au private, mwambie dogo achague walimu wazuri wa tuit atatoka tu huko private na hata govt schools walimu wanafanya business i mean mwl anaingia class kila kipindi lkn mwendo wa kinyonga baadae anakuja kuwaambia ili tumalize syllabus ni lazime tuanze madarasa ya ziada kwa malipo kiasi. huko tuit ukienda unakutana na wanafunzi wa minaki, pugu, azania, tambaza etc
   
Loading...