what causes temperature changes and variation?

oldd vampire

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
253
52
hua najiuliza ni kwanini maeneo mengine ni kuna joto sana mfano DAR n mengine baridi sana kama artic kule uingereza...na nini kina sababisha utofauti huu?na ni kwanini eneo moja lina experience three weather conditions in a year?na ni kwanini kuna kipindi cha mvua?jua?na baridi?nini kina sababisha?
 
auwiii, lile daftari langu la JOGI liko wapi?? kuna ile topiki ya kilaimatoloji..:poa
 
hua najiuliza ni kwanini maeneo mengine ni kuna joto sana mfano DAR n mengine baridi sana kama artic kule uingereza...na nini kina sababisha utofauti huu?na ni kwanini eneo moja lina experience three weather conditions in a year?na ni kwanini kuna kipindi cha mvua?jua?na baridi?nini kina sababisha?

aah..kijana kwa upewo wangu joto tofautiana toka maeneo ya poles nayale mengine kwasababu kama vifuatazo 1.season and angle inclination of earth 2.oceans currenc 3.clouds cover 4.atmospheric scater and absortion apo ndo upeo wangu umeishia ila nenda kasome zile factor affect insolation katika topic ya climatology ndo ndani yake kuna majibu ya swali lako kijanaaa
 
Back
Top Bottom