Ma star wa kibongo picha zao bonyeza jina lolote lile itatoka picha yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ma star wa kibongo picha zao bonyeza jina lolote lile itatoka picha yake

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Feb 21, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  <small>Wema Sepetu aka Shemejiii!!</small>
  <small>Sexy Linah</small>
  <small>Dj Choka</small>
  <small>Dully 2011</small>
  <small>Lameck Ditto</small>
  <small>Barnaba</small>
  <small>Queen Darleen</small>
  <small>Dynaa Cute</small>
  <small>Dully </small>
  <small>Fid Q 2011</small>
  <small>Godzilla aka Kingzilla</small>
  <small>Langa 2011</small>
  <small>Lina Hot!</small>
  <small>Mkali</small>
  <small>Linex</small>
  <small>Marlaw 2011</small>
  <small>Mboto Comedy</small>
  <small>Mike T 2011</small>
  <small>Peter Msechu</small>
  <small>Saigoni</small>
  <small>Sam wa sina Raha</small>
  <small>Samir</small>
  <small>Samir Again</small>
  <small>Suma lee wa Hakunaga</small>
  <small>Suma lee akiimba</small>
  <small>Waziri wa BSS</small>
  <small>Lulu 1</small>
  <small>Lulu 2</small>
  <small>Lulu 3</small>
  <small>Lulu 4</small>
  <small>Lulu 5</small>
  <small>Lulu 6</small>
  <small>Lulu 7</small>
  <small>Lulu 8</small>
  <small>Lulu 9</small>
  <small>Lulu 10</small>
  <small>Lulu 11</small>
  <small>Marlaw na Mchumba wake Besta</small>
  <small>Maji ya Jay Dee kUPIGWA stop!!</small>
  <small>Raisi wa sharobaro Recods.CHOCOLATEE</small>
  <small>Joti akiwa Kazini</small>
  <small>Chid Benz akiwa stejini..</small>
  <small>Lady jay dee na Maji yake</small>
  <small>Lord eyes wa nako 2 nako</small>
  <small>Maji mapya ya Lady jay dee</small>
  <small>Raisi wetu KIKWETE.</small>
  <small>Mwl. Julius K Nyerere</small>
  <small>Mhe Mizengo pinda</small>
  <small>Kyline 2009</small>
  <small>Shaa</small>
  <small>Ze Comedy</small>
  <small>Wema Sepetu & Kanumba</small>
  <small>Late Amina Chifupa</small>
  <small>Amina 2</small>
  <small>Besta New 2009</small>
  <small>Ray C 2009</small>
  <small>Ray C</small>
  <small>Ray C</small>
  <small>Ray C 2003</small>
  <small>Ngwea 2009</small>
  <small>Raha P arudi tena!</small>
  <small>Raha P</small>
  <small>Rich wa Big Brother.</small>
  <small>Ay wallpaper</small>
  <small>Arusha Nako 2 Nako</small>
  <small>Cp New logo</small>
  <small>Joseline</small>
  <small>>Inspector & Lady J dee</small>
  <small>>Kalapina wa kikosi</small>
  <small>>Miss Tanzania</small>
  <small>>Jokate</small>
  <small>>Nakaaya Vs Kylin.</small>
  <small>>F a.. bado nipo nipo</small>
  <small>>Ngwea wa kusaka mahela</small>
  <small>>Mb dogy... Natamani</small>
  <small>>Kassim wa Awena</small>
  <small>>Cpwaa part 2</small>
  <small>>Besta</small>
  <small>>Ay Mzee wa Commercial</small>
  <small>>Ay a soldier</small>
  <small>>Ally kiba wa Cinderella</small>
  <small>>Banana Zoro</small>
  <small>>Berry white</small>
  <small>> C p aka pwaaa</small>
  <small>>Dully sykes aka Blazamen</small>
  <small>>Marlaw wa Bembeleza</small>
  <small>>Nako to nakozi mchizio wetu</small>
  <small>>Juma nature aka KiRoBoTo</small>
  <small>>Snare wa East cost</small>
  <small>>Top in Dar (TID)</small>
  <small>>Prof J wa mitulinga</small>
  <small>>Rado mzee wa Usiulize</small>
  <small>>Sugu Mr two Atabaki kuwa SUGU wa muziki</small>
  <small>>Nancy Nsumari(Miss Tanzania)</small>
  <small>>Ray C wa Viuno!</small>

   
 2. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #2
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
 3. m

  mahmoud abbas Member

  #3
  Feb 21, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  big up broda....
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 21, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ehe baada ya hapo?
   
 5. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #5
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Raisi Kikwete na Mizengo Pinda ndio wangefaa wachanganywe na hao wasanii wa bongo lakini nakushauri toa hilo jina la Baba wa Taifa Julius K Nyerere!
   
 6. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #6
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  No respect. Utamwekaje Hayati Mwalimu Nyerere katika hii list ya mediocrity unayoiita "Mastaa" Tafadhali ondoa hilo jina lamwalimu haraka iwezekanavyo.
   
 7. DASA

  DASA JF-Expert Member

  #7
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 1,031
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Then... what next!!
   
 8. A

  Aine JF-Expert Member

  #8
  Feb 21, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa wamefanya nini ili kuwa staa?
   
 9. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #9
  Feb 21, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mbona husninyo na figganigga hawamo.
   
 10. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #10
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Kwani STAR maana yake nini?

  Manake mi naona orodha ya watu wa hovyo hovyo wasio na kazi ikijumuishwa na jina la Baba wa Taifa. What do they have in common braza?

  Kama nia yako ilikuwa ni kutuorodheshea watu wenye vituko labda nitakuelewa, manake Nyerere naye baadhi ya hotuba zake zinachekesha au kile kitendo cha kumpa kirungu malkia wa uingereza badala ya mkono.
   
 11. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #11
  Feb 21, 2012
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Bora mimi kuliko hao uliowataja!mie ndo star mwenye wa maisha yangu!
   
 12. K

  KALABASH JF-Expert Member

  #12
  Feb 21, 2012
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
   
 13. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #13
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Kwani kuitwa Mwlimu Nyerere Star wa Tanzania kuna ajabu gani? kwani neno (Star) wewe unalitafsiri kivipi? Kwani Mwalim Nyerere sio Star wa Taifa la Tanzania?
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Feb 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  Neno Star ni nyota au mtu Maarufu sasa kwa fikira zako n mawazo yako yaliyokuwa finyu unafikiria nini maana ya neno STAR? kwa lugha ya kiswahili? Acheni kupotosha maana nyie wachafuzi wa lugha. Mwalimu Nyerere ni STAR Mkubwa wa Taifa letu la Tanzania

  au nikupe maana ya Star kwa kiswahili upate kuelewa? Star ni lugha ya kiingereza kwa kiswahili Star ni nyota au Mtu Maarufu hapo Tanzania, Sasa Baba wa Taifa ni Star kwa nchi yetu Tanzania na dunia Nzima. Acheni kutafsiri neno Star kwa maana mbovu nyie wachafuzi wa lugha.
   
 15. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #15
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Pole kwa kazi yote hiyo ya kulink hizo pics kwenye Thread
   
 16. BPM

  BPM JF-Expert Member

  #16
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,766
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  kuna muda mtu unaweza kukosa kitu cha kufanya
   
 17. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #17
  Feb 22, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  u lulu anatangaza biashara?
   
 18. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #18
  Feb 22, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
   
 19. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #19
  Feb 22, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
Loading...