Recent content by mahingah

  1. mahingah

    Niulize chochote kuhusu injini za magari madogo na pickup zinazotumia Petroli

    Gari yangu Ni Toyota cheser GX100, Gari ikiwa imewaka kunamlio unatoka Kama mshale WA saa unavyotembea Kwa haraka, tatizo Ni nini?
  2. mahingah

    Mwenye kujua kuhusu gari Aina ya TOYOTA CHASER ENGINE 4S

    Nimechukua Ile gari ndugu zangu,ipo vizuri marekebisho machache sana
  3. mahingah

    Mfahamu Baharia wa meli, Idara za meli na nafasi za mabaharia katika meli

    Nina degree ya Logistics and Transport Management nimepata pale NIT, nataka kuwa baharia course gani ya ubaharia itanifaa?
  4. mahingah

    Nahitaji paka wa kufuga

    Paka kweli wa kuniuzia mimi, naomba nipatie tu, nitakupoza pesa ya vocha
  5. mahingah

    Nahitaji paka wa kufuga

    Nipo Kigamboni, mwenye paka wadogo nahitaji, asiwe rangi nyeusi kama kachanganya rangi poa.
  6. mahingah

    Mwandishi Oscar Oscar achukua fomu kugombea nafasi ya Urais TFF

    Punguza chuki mtoto wa kiume,pesa zake na ww tafuta zako
  7. mahingah

    Nahisi mshawahi kumuona Nelson Ntombela Raia wa Afrika Kusini kwenye mitandao ya kijamii?

    Bila shaka umekutana sana na picha hii katika mitandao, mfahamu mhusika wa picha hiyo. Nelson ni mkazi wa Kagiso, Krugersdorp nje ya mji wa Johannesburg, amezaliwa April 6, 1987 akiwa ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba. Nelson amekulia katika mitaa ya wahuni, alikuwa muhuni pia wakati wa...
  8. mahingah

    Nahitaji pikipiki ya kununua aina ya boxer

    0655166597 nitafute faster
Back
Top Bottom