Recent content by Mahfudh Kiburwah

  1. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Betting zake anashinda pesa ndefu daily
  2. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Ivi yule jamaa The Real King Ni wa kweli yule?
  3. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani wanapima Corona?

    Good morning beautiful People, Mazee Nataka Nikapime Corona Naweza Kujua Ni Hospital Gani Wanapima Corona Na Kutoa na Cheti Hapa Dar.?
  4. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mzigo wa jana huo umechanika
  5. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Tupeane connection kaka tupige wote
  6. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania List ya Business Ideas kuhusu viwanda vidogo vidogo

    Bado unataka kufanya? Au umeshafanya??
  7. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Nape kwaichafua Tanzania Kimataifa, Daily Mail la UK laandika

    [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
  8. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania TBC mnatia aibu sana

    Kwani umejua leo Tbc imeshuka sana mpaka taarfa za habari siku hizi watu wengi wanaangalia kupitia ITV
  9. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Wamtaka Obama kugombea Urais Ufaransa

    Hizo ni mbinu za kisiasa za kuwaadhoofisha wagombea nchini ufaransa,sidhanikama marekani yenyewe itakubali na cdhan pia kama ufaransa katiba yao inaruhusu
  10. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mfalme wa Thailand sio bure

    Don't judge a book by its cover... Mnanishangaza Sana wengi wenu mmemuona kwenye pic tena pic zenywe hazizidi tano bado mnajudge... Mungu awasamehe
  11. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania NSSF tunataka majibu ya tuhuma kuhusu 'udini'

    Fanyeni kazi acheni uzembe juhudi znambakisha mtu kazini.... fanya uchunguzi utajua kwann ulfukuzwa kazi hupaswi kumuacha adui ajue udhaifu wako hivyo ukifanya kazi utabaki kazini ikichezea kazi utasepeshwa Waislamu pigeni kazi Inshaallah mungu atawasimamia
  12. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Jamii mbili za viumbe wenye akili ulimwenguni

    Safi sana
  13. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

    Huo ndio uzalendo big up zitto jembe komaa mwanaume haziri
  14. Mahfudh Kiburwah

    JamiiForums Tanzania January Makamba naamini amepata cha kujifunza

    Mcpende kujudge watu mliambiwa anataka uwaziri mkuu..... Acheni kujipa pressure makamba anaweza
Back
Top Bottom