Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,258
- 13,368
Wananchi wa Kigoma wamemtuma bungeni kupiga kazi, sio kupiga kelele kama wanywa viroba walio toka!!!
umenena mkuu
Wananchi wa Kigoma wamemtuma bungeni kupiga kazi, sio kupiga kelele kama wanywa viroba walio toka!!!
Hivi Zitto wanaweza kua mnafiki kuliko msigwa,mnyika,lema,mdee na Mbowe waliotumbia Lowasa fisadi papa kwa miaka 8 baadae wakaja kutumbia sio?
Wananchi wa Kigoma wamemtuma bungeni kupiga kazi, sio kupiga kelele kama wanywa viroba walio toka!!!
Huyu Ni Mnafki Sana Hadi Kauwa Upinzani Kigoma!
Wacheni na chama chake kwani vyenu vya ukawa visafi?
Ana chama chake wanaamua wao mlidhani mtapelekesha kila wa upinzani poleni acheni mae ajijenge
Machadema yanamtamani zitto awe side yao aaah ashatoka huko ........