Recent content by mahatmaxlla

  1. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    kaka, kunguru anafugika mpe makange tu na piga spakos za kwenda, akijichanganya kosa dogo sana kabia juu ndo ile kesi ya kuku unauza ng'ombe makofi ngumi ndo booster ya ndoa kichwani ajue kbsa ipo siku utamuua akiishi na ideology hii uzee wa pamoja huu hapa kaka
  2. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Makamu wa Rais mpya, Mhe. Deogratius Ndejembi - safari yako inaanza, haya ni maoni yangu

    anajipinga mkuu. by the way mhe makamu wa Rais kijana si Taifa la kesho tupatie nafasi ya kuwa Taifa la leo
  3. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Kipi kipimo cha kukua kwa uchumi kwenye jamii.?

    hili ni swali pana chief na majibu yake yako intellectual sana kwa kifupi na uelewa wangu mdogo nawza sema Ajira uzalishaji wa bidhaa uwezo wa watu kumudu chakula nyumba afya elimu usafiri na mahitaji mengine kama ngono internet anasa kiujumla level ya umaskini kuongezeka kwa kipato baada ya...
  4. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    mkuu umechimba kisomi sana nakubaliana na ww kwamba kila currency ina inflation rate na kwamba 1m ya 1980 haiwezi kuwa na purchasing powewr sawa na 1m ya 2026, lakini hoja yangu kubwa ilikuwa ni purching power ya ordinary people. inflation inapokuwa kubwa kuliko ongezeko la kipato, ht km mtu...
  5. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    uko sahihi mkuu ukubwa wa mshahara unapimwa kwa mahitaji, nowdays mahitaji ya msingi yani zile basic needs kwa binadamu sio zile tulizofundishwa shuleni, mahitaji muhimu yameongezeka
  6. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    kwenye maswala ya uchumi kuna kitu kinaitwa mfumuko wa bei( inflation) hii ndiyo sababu kubwa zaidi thamani ya pesa hupungua kadri miaka inavyokwenda bei zinapopanda kila mwaka ht mshahara wako unapopanda kidogo unaweza hisi pesa haina uzito kabisa kama zamani sababu za msingi ni mfumuko wa bei...
  7. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Asset na Mwanamke Liability

    mchumba au mwanamke wa nje siku zote anakuwa anatabia za a liability woman's lakini ukimsweka ndani wewe ndo wakumshape chief piga pin weka misimamo yako ASAP utaona tu kakaa kwenye reli na ata`adopt zile tabia zako na atakuwa asset kwa maisha yako yote shida haiko kwao ni vile tu tunavovyo...
  8. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2010 bajaj ziliuzwa 4m-6m leo zinancheza 10m+. Michango ya harusi ilikuwa 20k -30k, leo zinacheza 80k-120k. Ardhi 20x20 ilikuwa 1m-2m, leo 4m+

    Maisha yana badilika mkuu na everything change accompanied with it, na life matrix plus salary nazo zinapanda vilevile
  9. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Rafiki wa Davido afariki akijaribu kuongeza uume

    wanawake tuishi nao kwa akili wanaume tunakufa kwa mambo mengi sana. lakini kina cha satistifactory ni nchi mbili tu wakuu yote ya nn haya ona sasa!!!!!!!!!!!!
  10. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

    hizi ni alama za kudumu unakuta wengine walichanywa wakiwa mikono ya wazazi wao umri mdogo sana i mean
  11. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

    pole sana kaka hawa watu wana mambo mengi sana cha msingi ni kutulia na kuishi nae hvyo hivyo hizo imani binafsi asije tu kupandikiza kwa watoto cha kuongezea, chunguza vizuri pengine kuna dawa ya kukutuliza na wewe ndani ya nyumba
  12. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Team inakuja na game plan ya kujilinda ikitegemea quickly attack na set pieces Hamna build up Hamna ontarget Hamna offensive pass Hamna format maalum ya team Yaani wachezaji wanakimbia kimbia tu, kikosi kizuri lakini coach anategemea matokeo anfield away ameingia na akili ya kufungwa ila zisiwe...
  13. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liverpool sio team tena ni kikundi cha wahuni
  14. mahatmaxlla

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bayern wachezaji wanacheza kama wamelazishwa vile Lucho na Jackson leo ndo hamna kitu kbisaaaa. Wanaweza pata goli lakini ushindi au 2UP asimilia ni ndogo sana mkuu
Back
Top Bottom