Recent content by Magulukenda

  1. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili mke wangu nimejisikia vibaya sana kwa kweli

    Mwanamke ukimkopa elfu 10, halafu siku ukapata pesa ukampa tu kwa ajili ya matumizi yake kama hata laki tano hivi, atakuuliza tu, na ile elfu 10 yangu
  2. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Mpenzi/mke hapigwi: Mimi nitampiga ila kwa kuzingatia utaratibu ufuatao

    Mkuu ukimpiga makofi matatu huongezi jingine, Mwenzako sasa anakunyanyukia kigoga akubamize nacho,itakuwaje hapo?
  3. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Je, Kuachana (Break up) Kulikuwaje Kwako?

    Kweli kabisa, mwanamke aliumbwa kwa ajili ya mwanamme!
  4. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Yamenikuta mwenzenu. Ushauri tafadhali

    Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, maandiko yanasema!
  5. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya Rais Magufuli sasa inajulikana ilipo. Ni hatari kwa uchumi wetu

    Duh! Nimecheka sana....anajua anakotupeleka, halafu tunakubari kupelekwa tusikokujua. Hatari sana
  6. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Watu wengi walio katika ndoa si chaguo lao sahihi

    Wazee wetu zamani ndoa zao zilidumu sana kwa sababu wengi wao walikuwa wakioana wakiwa wote ni mabikra,kila mmoja anakuwa wa kwanza kwa mwenzake,leo hii unaoa/ kuolewa na mtu aliyeonja kila aina ya tunda,ndoa itadumu wapi.
  7. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Asante mke wangu kwa unayonifanyia

    Usimwamini huyo mke wako 100%,zingine baki nazo mwenyewe ili siku mambo yatakapobadilika usiumie sana!
  8. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Nyie wanawake mna nini?

    Nimeshtuka kidogo,jinsi mlivyofanya zinaa kirahisi hivyo,tena bila tahadhari
  9. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania 50-50 inavyowatesa wanawake wengi na kuwaumiza | Kuweni makini

    Na ili wapone lazima warudi kwenye mpango wa Mungu.
  10. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Changamoto za mjini hukimbiza wengi kutafuta unafuu wa maisha

    Uko sahihi mkuu
  11. Magulukenda

    JamiiForums Tanzania Waliohamia CCM wote kutoswa uchaguzi mkuu 2020

    Wacha tuone mwisho wake ni nini
Back
Top Bottom